Hahahaha...Ilishwahi kukutokea hii??

Hahahaha...Ilishwahi kukutokea hii??

M.E.M.A

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
1,373
Reaction score
472
Hii ilishawahi kukutokea? Ulifanyaje kupotezea??
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1375523540133.jpg
    uploadfromtaptalk1375523540133.jpg
    20.2 KB · Views: 876
mkono mfukoni ndo mango mzima, ila siku hizi hiyo haiwezi tokea, tight zinasaidia
 
Kuna jamaa ilimtokea class af mbaya zaid teacher alimwona akamwambia nenda kafute ubao! Unajua nn alifanya ????
 
unaingiza mkono mfukoni,kamata mashine ,ibane kwenye mkanda..Done
 
Kuna jamaa ilimtokea class af mbaya zaid teacher alimwona akamwambia nenda kafute ubao! Unajua nn alifanya ????

Alifanyaje huyo..? Huyo mwalimu naye hazimtoshi..kukomoa au?
 
Its so embracing haswaa kwako bi dada! Mi namwambia nakuja in 5 minutes! Kama ataniona!
 
Back
Top Bottom