Hahaha...

Amejiua kama wale wanao jiteka?, na kusingizia eti oooh! nimetekwa na watu wasiyo julikana kumbe yupo sehemu anakula urabu. au

wengine wanajigongesha kwenye magari ya bei, kisa wapewe chochote kitu. Dar bana heee!
Hiyo ikoje ebu dadavua!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom