Vitochi original bei rahisi sana

mwaega

Senior Member
Sep 22, 2013
195
253
Nauza jumla ndani ya box viko kumi... 250,000/=
Reja reja nauza kimoja 29,000/=

Alafu tambueni, kuna vitochi namba 1 na namba 2 vinafanana kila kitu ila sasa hivyo namba 2 utatumia wiki moja baada ya wiki utalia. Hivi vyangu ni namba 1 original wala hautokuja kulalamika kikikusumbua nakupa kingine kipya sio kwa fundi

NB: kikisumbua kirudishe nikupe kingine nipo siriasi na kazi yangu hii endelevu.
Nipo kariakoo aggrey na likoma
Pamoja na kibaha
Delivery ipo hela kidogo
Namba
0712583157
Ina whatsapp pia
View attachment 2773644View attachment 2773646
 
Nauza jumla ndani ya box viko kumi... 200,000/=
Reja reja nauza kimoja 27,500/=

NB: kikisumbua kirudishe nikupe kingine nipo siriasi na kazi yangu hii endelevu.
Nipo kariakoo aggrey na likoma
Pamoja na kibaha
Delivery ipo hela kidogo
Namba
0712583157
Ina whatsapp pia
Picha plz
 
Picha plz
Hizo
IMG_20231006_155206_026.jpg
IMG_20231006_155132_222.jpg
 
Vipo fresh sana.....Tatizo lako hujatoa hata specifications zake watu tujue....yaani battery capacity, charger unapewa, ni line ngapi, n.k ......
 
Vipo fresh sana.....Tatizo lako hujatoa hata specifications zake watu tujue....yaani battery capacity, charger unapewa, ni line ngapi, n.k ......
Laini mbili mkuu kina kaaa na chaaji siku nzima mpaka mbili na zaidi
 
Ameuliza specifications zake sijaona hilo jibu ndugu...!

Au in short ungepiga picha box kwenye eneo la specifications ukaweka hapa itakuwa sawa kabisa.
 
Ameuliza specifications zake sijaona hilo jibu ndugu...!

Au in short ungepiga picha box kwenye eneo la specifications ukaweka hapa itakuwa sawa kabisa.
Ram 4
Duos
Battery mAh
Size 1.8 inch
Fm radio ipo
Haya kaaribu
 
Back
Top Bottom