Hahaha...

Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
118,396
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
118,396 2,000
*John Sanga alikuwa na mwanafunzi Mchoraji, Siku mwoja alichora Noti ya shilingi elfu kumi kwenye sakafu, Mwalimu alipo ingia Darasani ghafla akajikwaa na kupasuka pua .... Wakati alipo kuwa anakimbilia ile hela kuiokota, akauliza wanafunzi nani aliye chora hapo chini? Wanafunzi wote wakamtaja John, mwalimu akaamua kumpigia simu Baba yake john(Mzee Sanga) Mzee Sanga akapokea akiwa hospitalini kalazwa, Mwalimu akamweleza makosa ya mwanae Mzee Sanga akamwambia Mwalimu afadhali yako wewe umepasuka pua hujalazwa, Huyo Mbwa jana kachora uchi wa mwanamke kwanye soket ya umeme*

*UNAHISI MZEE SENGA KAUMIA WAPIII !!!*

SITUMIII VIROBA WALA BANGI WANGU UGORO TUU
 
Kimwerymdodo5

Kimwerymdodo5

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2019
Messages
837
Points
1,000
Kimwerymdodo5

Kimwerymdodo5

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2019
837 1,000
*John Sanga alikuwa na mwanafunzi Mchoraji, Siku mwoja alichora Noti ya shilingi elfu kumi kwenye sakafu, Mwalimu alipo ingia Darasani ghafla akajikwaa na kupasuka pua .... Wakati alipo kuwa anakimbilia ile hela kuiokota, akauliza wanafunzi nani aliye chora hapo chini? Wanafunzi wote wakamtaja John, mwalimu akaamua kumpigia simu Baba yake john(Mzee Sanga) Mzee Sanga akapokea akiwa hospitalini kalazwa, Mwalimu akamweleza makosa ya mwanae Mzee Sanga akamwambia Mwalimu afadhali yako wewe umepasuka pua hujalazwa, Huyo Mbwa jana kachora uchi wa mwanamke kwanye soket ya umeme*

*UNAHISI MZEE SENGA KAUMIA WAPIII !!!*

SITUMIII VIROBA WALA BANGI WANGU UGORO TUU
Mzee john fala kweli 😂😂😂😂
 
mshipa

mshipa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2015
Messages
10,299
Points
2,000
mshipa

mshipa

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2015
10,299 2,000
Nikiangalia Nyumba ya mzee Mengi nimeelewa kwanini kwenye mkataba wa nyumba nilipopanga kichwa cha Habari kimeandikwa MKATABA WA KUPANGISHA PANGO

Faljarah Mahsen

Faljarah Mahsen

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2019
Messages
1,172
Points
2,000
Faljarah Mahsen

Faljarah Mahsen

JF-Expert Member
Joined Apr 16, 2019
1,172 2,000
Nilivuta Bangi ... Nikarud Hom Nikamkuta Mama Amekaa nikamuita Nikamuuliza Hivi Ww Si Ndo Yule Demu Unayepikaga Pikaga Hapa Home ..... Sifaham Nini Kilienderea Mpaka naruhusiwa Chumba Cha Watu Mahututi
 
C

Ctr

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Messages
499
Points
250
C

Ctr

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2013
499 250
*John Sanga alikuwa na mwanafunzi Mchoraji, Siku mwoja alichora Noti ya shilingi elfu kumi kwenye sakafu, Mwalimu alipo ingia Darasani ghafla akajikwaa na kupasuka pua .... Wakati alipo kuwa anakimbilia ile hela kuiokota, akauliza wanafunzi nani aliye chora hapo chini? Wanafunzi wote wakamtaja John, mwalimu akaamua kumpigia simu Baba yake john(Mzee Sanga) Mzee Sanga akapokea akiwa hospitalini kalazwa, Mwalimu akamweleza makosa ya mwanae Mzee Sanga akamwambia Mwalimu afadhali yako wewe umepasuka pua hujalazwa, Huyo Mbwa jana kachora uchi wa mwanamke kwanye soket ya umeme*

*UNAHISI MZEE SENGA KAUMIA WAPIII !!!*

SITUMIII VIROBA WALA BANGI WANGU UGORO TUU
Nilitamani nikutane nawe Mr Mshana nadhani kuna vitu vingi unavifahamu kumbe hata huku upo ?
 
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Messages
17,465
Points
2,000
Beberu Mwitu

Beberu Mwitu

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2013
17,465 2,000
We uza matope
Sisi wa mabondeni huku tayari tunauza Kambale
 
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2019
Messages
844
Points
500
smaki

smaki

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2019
844 500
Mzee sanga aliumia rombo si alichomeka lakini?

Swali kwako jr mshana huyo mtoto mchori,

Alijuaje ya mama ake ina fanana ivo? Hadi babaye akavutiwa nayo?
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
118,396
Points
2,000
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
118,396 2,000
Mzee sanga aliumia rombo si alichomeka lakini?

Swali kwako jr mshana huyo mtoto mchori,

Alijuaje ya mama ake ina fanana ivo? Hadi babaye akavutiwa nayo?
Hakuchora ya mamaake
 
Forum statistics

Threads 1,335,300
Members 512,289
Posts 32,501,626
Top