Kuna id humu naona wamepigwa RIPUnyama bwashee
Seran ni masampu wake au mlevi mwenzake?Anaetaka msaada hasa wa kifedha awasiliane na seran tu , atanicheki nitakupa Masada bwashee😃
ni ubatili bwashee...Poleni kunyweni pombe muongeze siku za kuishi bwashee
SeranAnaetaka msaada hasa wa kifedha awasiliane na seran tu , atanicheki nitakupa Masada bwashee😃
Hahahaha nimecheka kifala mno , sema Mimi nilipo ni kwao ila asilimia kubwa nimewazidi Kila kitu , nawaopoa tu kama kimboka😃Hata Mimi nimerudi zangu duniani bwashee, na Ka autumn ndio kanaishiria..Nimeiacha bongo mikono salama ..sukuma nyama uko uliko
View attachment 3678386