Hahaha Lara 1.....!!!!

lara 1 umepotea wapi! unaitwa huku.
 
Last edited by a moderator:
Huyu bi dada ameshapata Promo ya kutosha tuwape airtime na wengine....
 
Ndio mimi ni Mwanahamisi Jongo wa Mbagala KWANI VIPI MNANIDAI?????????????? Hahhaaaaaaaaaaaa! Watu WAPANA hadi mkanigoogle!!!!!!!

Ndo mie Mwanakhamisi Hussein Ally Jongo wa Mbagala Kiburugwa kuna mwenye deni na mimi?
 
Huyu Mwanahamisi Jongo ana makuu jamani? Sasa kwa kuwa amebainika inabidi aweke picha yake ya ukweli tuone anavyotisha na mkorogo wake na mat.ako yaliyopigwa pasi.
 
Ndio mimi ni Mwanahamisi Jongo wa Mbagala KWANI VIPI MNANIDAI?????????????? Hahhaaaaaaaaaaaa! Watu WAPANA hadi mkanigoogle!!!!!!!

Ndo mie Mwanakhamisi Hussein Ally Jongo wa Mbagala Kiburugwa kuna mwenye deni na mimi?

Mpendwa Sabah el-kheri... Wasamehe hao Majahili ni watu wasiyofahamu Ulimwengu!! Forgv. ujipatie Thawabu dadngu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…