hahah Vibuti vyengine bana!! (Single mwaka mzima)

hahah Vibuti vyengine bana!! (Single mwaka mzima)

Wewe jamaa ume loop CD,Inawezekana ulilazimisha kugegeda kwenye gari mkakamatwa so bint akaku mind au ulipandisha mori wakati unabishana na askari akaziona hasira zako akaona kuna siku utakuja kumuua ukimfumania kama una hasira za hivyo ukizingatia ana vidumu

Au ulikamatwa kwa msala mkubwa na Polisi akashangaa ulivyo na confidence na ulivyozoea misala akajua hapa ni cha kike wewe ni kipusa

Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna mkuu.. halafu confidence ni kawaida tuu

ila yule binti ana wasiwasi na Kisirani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😀😀😀😀 sjadharau na labda na mm ninayo raum lakini siezi kuiita ndinga mbele za watu😀😀😀😀
Me sikubali, kwa mdomo utasema hunadharau lakini kwa maandishi yako umetudharau sisi wenye vi-vitz vibovu
 
Mantiki yangu ni kwamba kuna vitu vya kuvipa hadhi bana hata km kazi yao ni mmoja huwezi eka apo bajaj sjui toyo zile za mzigo na scania tena mende eti kwa vile zote zinabeba mizigo ukaziita gari za mizigo😀😀😀 kila mmoja iitwe kwa nafasi yake eboo😡😡
Hahahahahhahaha. Me nimekwambia wewe sawa tuuu ujumbe tumeupata ila na sisi tutafika huko kwenye miV8
 
Siamini ktk wanaume tu kumiliki gari, wanawake pia wana magari mnoo tena ya maana...sema ni ulimbukeni tu wanaume wachache akieza kumiliki ata kale ambako wiki haiishi ajaenda garage na yeye haishi kututangazia gari ,gari, ndinga, ndinga, siku ukiiona unaweza ukacheka mpaka Mungu akakuchukua akyanani😀😀😀
No! Nlilokuwa nasema ni kwamba, kuna mdau amesema watu wengi wanayo magari kitu ambacho napingaaa tena kwa nguvu zote. Hata kama ni mikweche lakini sio wengi ambao wana magari hususan kutoka hapa JF. Kwani wewe ushakutana na watu wangapi wa hapa?? Trust me hali za watu humu ni mbaya
 
Ila sasa mkome kututangazia ndinga, ndinga, kumbe una kagari ata kuna wasichana hawawezi panda kwa kuona aibu bora atembee kwa mguu😀😀😀😀 nakumbuka nlikuwa nadharau kabla hata sjamiliki bajaj lakini vigari vidogo vidogo ivo afu mwanaume anajiona ndo amefiiika ptuuuuuuu
Kwa hiyo tusubiri mpaka tununue hayo ma-ndinga ndio tuje tuseme, right?? Au tuseme tu straight kwamba Mimi ninayo vitz mbovu mbovu
 
Back
Top Bottom