Hahaaa kuku kwa mrija

Nimekumbuka wa Nyalunkole walikuwa wanakwenda Dar, wamefika Morogoro basi limesimama ili wapate rizk, wameagiza chakula wakapewa bill wakalipa, baada ya kula wanabeba sahani, mwenye hoteli kuja juu wanamshangaa "mwe chakula unanunua? Sisi kwetu mgeni akija anapewa chakula bure, pesa tuliyolipa ni vyombo wee".
 
Hahaaaa nahisi ngumi zilizuka hapo
 
Hahaha! Dah Umenichekesha sana leo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…