Hafikishwi kileleni afanyeje?

Sasa mpaka ukubali kuolewa nae si inamaana ulilidhika nae hivyo alivyo.....

kuchepuka siyo suluhu....ajaribu kumwambia afanyiwe nini....na ampe vyakula vya kumtia nguvu na pia amshauri aanze kufanya mazoezi....
 
nilitaka mwambia hvhv....kabla hawajafunga ndoa hawakugegedana ama alipenda pesa akaona atavumilia tu

No....no one gets in an action while is experienced, but doing and doing it brings experience.

Vv
 
...chepuka na mimi mama maana hata mimi mke wangu hanifikishi
 
Nenda kwa makungwi wakufunze jinsi ya kucontrol hisia za mwanaume, wewe ndio tatizo wala si yeye, angekuwa hapigi hata moja hapo yangekuwa mengine
 
umekurupuka kucomment mkuu nimetoa reference hata dawa yenyewe siifahamu ila huyo mkuu niliyomuweka hapo juu ndio alitoa thread ya kuisifia kama ungenavigate kwenye hiyo link nafikiri ungeona..........na usingecomment ulichokicomment hapa..

Bhasi nisamehe kama nimekukwaza mkuu. Samahani
 
Kipi kilikufanya uolewe na huyu? Hakuwahi kukugegeda kabla? Kwa kukusaidia uwe unampigisha bao moja oral hapo akirudi lazima ufike pia badilisheni mkao siyo kila siku mende kafa
 
Tatizo Wanawake Weng Wana Amin Kuhus Kufanya Mapenz Bas N Jukum La Mwanaume Kumfurahsha Mwanamke Wamesahau Nkaz Ya Wote Wawil Kufurahshana. Uschepuke Chamsng Muhamasishe Ahamaske Yangu Hayo2. Have A Good Day
 

mvumilie.kuna tatizo la kibaiolojia linalotupata wanaume kwenye umri wa miaka kati 30-39 ambapo nguvu hupungua na umri kati ya 41-49 huongezeka sana.ambapo 50 na kuendelea hupungua moja kwa moja. Simjui huyo lakini kama inagoma kabisa mshauri anywe dawa za kurekebisha mfumo ili kama hiyo biological problem imechanganyika na tatizo jingine asaidike. (soma makala za dinahicious.blogsport.com.
 
Ungeolewa na wanaokufikisha. Yawezekana uliweka tamaa ya pesa mbele. Bado una nafasi . Kuna watu wengi tuna ukame.
 
Hapo hakuna dawa yeyote ila umwambie mpenz wako azidishe ujuz kama vp hata umwambie zile sehem ambazo ukishikwa unapata kitu romatic moyoni mwako hakuna aliezaliwa anajua mapenz ila nikujiongeza2, nimtazamo wangu mimi
 
Hapo ndipo mnaponichosha mimi........wewe ile formula ya shake well before use uliiacha wapi......?.......umefanikiwa kunichosha sana.......

Atakuwa haijui jamani,mfundishe.....
 
Inawezekana unampenda ila huna hisia naye... Jaribu kumuona mumeo in a positive ways... hii itakusaidia upate hisia za mapenzi kutoka kwake... Usipo kuwa na hisia na mtu, itakuwa tu kama vile unajamiiana na gogo, kitu ambacho kitachelewesha msisimuko wa mwili wako... Jaribu pia kupata ushauri wa kisaikolojia...
 
Hili ndio tatizo la kugawagawa uchi hovyo,mwisho wake unashindwa kujua ni yupi atakuridhisha!!Tamaa ndio inafanya kazi hapo, nakushauri urudi tu ukaendelee kugawa kwa wanakuridhisha na usimtaabishe kijana wa watu kwa tamaa zako. Mungu anaposema atakupatia mtu wa kufanana naye hakumaanisha sura bali hata uwezo wa kufanya tendo la ndoa, ingawa hapa hii ni sanaa na wewe unapaswa kuwa msanii mzuri au kwa lugha nyingine humu ndani wanashauri uwe malaya kwa mumeo au mkeo. Historia ya nyuma inakuandama na unapaswa kutulia na kusahau kwa maana sio wote wana uwezo mkubwa wa kufanya mapenzi kwa muda unaotaka au kwa kuridhika unakudai wewe. Huyo ni mumeo kaaeni nae muongee na mkubaliane cha kufanya na sio kukaa njia ya kukimbia nyumba yako,huenda huko unakotaka kurudi kwa maana naona umepakumbuka huenda ukakutana na ya ajabu kuliko hilo. Atakuridhisha unavyotaka lkn atakuumiza moyo wako kila siku na kubaki kuwa akiba ya presha ya kila siku. Ridhika we mwanamke,kwani hilo tu ndilo litakutoa roho?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…