Hafidh Ameir, Tanzania First Gentleman

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,510
2,000
Hafidh Ameir, Mume wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alivyowasili Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam kunakofanyika shughuli ya kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais John Pombe Magufuli, aliyefariki 17 Machi 2021 kwa matatizo ya mfumo wa umeme wa moyo.20210320_174101.jpg
 

ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,485
2,000
Kama ilivyo ada watz sisi ni kizazi sawa kabisa na wakorintho...tunapenda kuchunguzachunguza ili tupate kujua,sasa naomba kuuliza. Hivi "first gentleman" wetu ni nani?maana hatujawahi kumuona,na Kama hayupo mabaria tupeane majukumu.
Ova.


Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom