M Mtumwa wa kweli Member Joined Feb 11, 2011 Posts 71 Reaction score 6 Aug 12, 2011 #1 Katika hadithi za kutisha utotoni mimi naikumbuka ya yule mtoto mkorofi aliyebebwa na Jogoo miguu juu kichwa chini, nilikuwa nikimuona jogoo nakimbia ile mbaya. Je wewe wakumbuka ipi??
Katika hadithi za kutisha utotoni mimi naikumbuka ya yule mtoto mkorofi aliyebebwa na Jogoo miguu juu kichwa chini, nilikuwa nikimuona jogoo nakimbia ile mbaya. Je wewe wakumbuka ipi??