Hadithi ya Mapenzi

HOBYNOBY

Member
Joined
May 23, 2013
Posts
44
Reaction score
4
Cku 1 jamaa alisafr na mpnz wake kwenda Zanzibar{hadithi itaendelea wakirudi toka Zanzibar}
 
wamesharudi toka jana,nimewaona pale kwao,endelea basi.
 
Wapo safarini wanarudi,kwa hiyo muda si mrefu hadithi itaendelea na mambo kemkem ya Zanzibar.Usisite kufuatilia kisa hk
 
Kwa hyo walpofka Zanzbar kwa bahat mbaya walikosa mwenyej na gza lilikuwa lmetanda hvyo{...}
 
Hvyo kw bahat nzur akatokea msamalia m1 wakiume akasema nna nafac nyumban y m2 m1 ghafla bnt akasema nije mm?yaani{...}
 
Yule msamaria akawaambia kwa kuwa nafasi ni moja basi mtalala kwa zamu. Je aanze nani? jamaa kachekecha akajiuliza nikianza mimi mpenzi wangu atabaki na nani? na huyu msamaria huku Z/bar hawezi kunirudi? Akianza mpenzi wangu kutakuwa na usalama? Alipokuwa anatafakari hivyo mara akatokea m........
 
Pa1 sana kilasanioni nafkr 2po sawa hvyo akatokea m2 akasema Betty ma luv! umekuja ln Znzbr?jamaa kuckia hvyo aka...
 
Mafuriko haswaaa mana c unajua tena maj ni uhai lkn zama ujionee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…