Hadithi ya kweli ya maisha yangu

shukrani sana , la kujifunza lipo, la kuburudisha pia , all in all usipomua qailah jua tu hutakaa upate tena pisi kama hiyo maishaa yako yote ,, ila broo ua so luck fala ww
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£ lazima uwe mjanja mjanja u survive, hii pisi kuicha labdaa cjui.
 
Holy kama holy big up kwa story,sasa nakupa mchongo nataka umfanyie tukio jamaa flan keegan paul maana ametusubirisha hatuelewi nn kinaendelea ukishindwa tumpelekee wahuni wetu wa tarime wakamalize kazi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ aisee, muheshimiwa kama muheshimiwa
 
nichek pm tuyajenge kama upo serious
 
Target yako ilikua ngumi ya pua na mdomo sipat picha aibu aliyopata konda
πŸ˜‚πŸ˜‚ ngoja nikuhadithie kidogo, Siku hyo kwenye hyo hiace niliyoipanda, kama bahat nilikutana na demu mmoja nilishawahi kumtongoza mwaka 2017 kipind tumeenda nyamongo kutoa huduma ya kiroho.Sasa cku hyo nilikutana nae alikua anatoka chuo mwanza anaenda Nyamongo.

Nilikaa nae siti pamoja na mdada mmoja alikua anatoka dar anaelekea tarime ( alikua hapajui, kuna mtu alikua ana mdairect kwenye simu ).siku pia nilikua nimewekwa kati, huyo manzi wa chuo alikua kakaa mkono wangu wa kulia na huyo wa dar alikua mkono wangu wa kushoto.

Hicho kitu nacho kilichangia konda kuudhika maana alimsemesha huyo mdada alie kuwa anatoka dar, huyo mdada akamkazia hatari.Aliumia sana alivyokia anaona me naongea na wote ndo akaleta ufala wake wa kikuda wa kunipandishia nauli.

Alipata linalo mstahili cku hyo.
 

Nimesoma story yako na umekuwa mu wazi sana. Jambo moja ninaliona ni kwamba Mungu anakupenda sana na ninafikiri ana makusudi na maisha yako ndiyo maana bado unaishi. Kwa ushauri wa kiroho ninaomba usome maandiko yafuatayo:-​

Isaya 1:18-20 "Haya, njoni, tusemezane, asema BWANA. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu. 19Kama mkikubali na kutii mtakula mema ya nchi; 20bali kama mkikataa na kuasi mtaangamizwa kwa upanga; maana kinywa cha BWANA kimenena haya."

Rumi 10:9-12 "Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka. Kwa maana kwa moyo mtu huamini hata kupata haki, na kwa kinywa hukiri hata kupata wokovu. Kwa maana andiko lanena, Kila amwaminiye hatatahayarika. Kwa maana hakuna tofauti ya Myahudi na Myunani; maana yeye yule ni Bwana wa wote, mwenye utajiri kwa wote wamwitao."

Matahyo 11: 18-20- Yesu anasema "Njoni kwangu, ninyi nyote msumbukao na wenye kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata raha nafsini mwenu; kwa maana nira yangu ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi."

Yohana 1:12 " Bali wote waliompokea (Yesu) na kumwamini aliwapa haki ya kufanywa watoto wa Mungu. 13 Hawa hawakuwa watoto wa Mungu kwa kuzaliwa kwa njia ya asili, wala kwa mapenzi au mipango ya watu bali wamezaliwa na Mungu mwenyewe."

Ufunuo 3:20 "Tazama, nasimama mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami."

2 Koritho 5:17-19 "Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita tazama! Yamekuwa mapya. Lakini vyote pia vyatokana na Mungu, aliyetupatanisha sisi na nafsi yake kwa Kristo, naye alitupa huduma ya upatanisho; yaani, Mungu alikuwa ndani ya Kristo, akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake, asiwahesabie makosa yao; naye ametia ndani yetu neno la upatanisho. Basi tu wajumbe kwa ajili ya Kristo, kana kwamba Mungu anasihi kwa vinywa vyetu; twawaomba".

Yohana 14:6 "Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi."



 
Imeandikwa maneno ya hekima sana,,,,japo style ya uandishi wako imekua ya kishamba sana.
 
Hongera sana kwa kubadilika na kuwatu mwema, tumeburudika sana na story yako ,asante sana
 
Mafanikio mema kaka tunashukuru kwa kutushirikisha mikasa uliyopitia katika maisha yako mengi ya kujifunza mazuri,hatuishi kuwa bora ila tunakuwa bora kwa kuyaona yale tuliyopitia yapo kwa ajili ya kutujenga. Cha mwisho si kila mtu anaweza kuthubutu kama wewe kuwa muwazi. Ni kwa neema tu mkuu Mungu aliyokujalia na kutumika kuwa baraka kuokoa wengine.
 
thanks so much ubarikiwe sana πŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…