Huyo Jamaa hizo dharau alijitakia mwenyewe tu..Achana na hela hiyo itoe .sio lazima wanaume wote muwe na hela...mengine ni majaliwa..usmart naosemea mm uweze kutatua changamoto zozote zile...! Yaan hata kama hakuna msos mwambie mwanamke wako nipe muda nijur cha kufanya...yaan sisi tunapenda sana kusikia hayo maneno....mtot karudishwa ada atleast ongea neno la kujionesha uanaume wako bas nafsi yangu itulie ...atleast onesha unajali kwenda shulr na kuongea kiume yaani napenda UJIFARAGUE...kuna wanaume mtoto amerudishwa ada anakuambia mm sina hela unataka nikaibe!!imagine anakuambia hvyo alafu kesho unataka uheshimiwe[emoji19][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]! Yaani jibidishe mzidi kila kitu mwanamke wako yaan ngumu sana kufurukuta..narudia ngumu sana..hata kama mwanamke atakua anahela lakini hawez fanya jambo bila kukuambia wewe....maana anajua unamjali kwenye changamoto zozote...sasa hela huna huna ushauri wala mawazo ,unaleta ukidume wako fyongo weeeee...kaa tu kwa kutulia!
Huu sasa mfano hai..majuzi nilikua na shoga angu yuko njema..mumewe mwalimu wa sec...mkewe anamiliki ishu fulani kubwa...na upande wa mke wanajiweza balaa...
Sasa bibi mtu kamchukua mjukuu amsomeshe sekondari(baada ya baba mtu kusema yy hana hela tena)...sasa mtoto karudi pasaka baba mtu anasema ohh nataka nisafiri naye nikachek shule mliyompeleka...umeelewa?? Yaan mkwe anakusomeshea first born wako ila unataka ukachek mazingira anayosoma mwanao na ni shule expensv ..yule bibi kwa maskio yangu nikamskia anamwambia mwanaye wa kike..anataka kuja kukagua shule aje na ada na usimpe nauli..atafute nauli yake..asitake kutupanda..ameshindwa msomesha mtoto unaleta ukidume hapa[emoji1787][emoji1787]! Kifupi dogo (mtoto)amepanda[emoji574] kwenda shule kamuacha dingi na boxer ([emoji965])yake hapa Moro[emoji1787][emoji1787]!
Hahahaaa we Mchimbaji wewe umekomaa walahyπ€£π€£π€£π€£...mwanamke kumuwin ni kitu kidg sana...jitahid uwe smart vby sana ..yaan mzidi kwa kila aspect...atakua ana adabu mwanamke anataka akikupa challenge uitatue...yaan hata kama huna ujuzi na kicho kitu basi jitahid uwezavyo ukinga'amue...! Mwe sijui nielezeje...binafsi mm napenda mwanaume anizidi sana sana yaan iwe 20/80! Ukweli ntastick sana na ww ntahis niko safe mno...! Sio unaambiwa changamoto ndogo unaanza tena muuliza mwanamke wako TUNAFANYEJE!!..
Kuna siku nilibeba mkaa gunia kubwa basi buti haikufunga nikajisahau kbs kuhusu trafiki dah akanidaka ..bas nikawaeleza watu wawili jaman ttafiki amenidaka na mm sitak kumpa hela...mmoja akaniambia dah sasa tunafanyeje! Mwinginr akaniambia nipe simu niongee naye..nikampa..akampa somo mie najitikisa tu najua trafiki hachomoi...na kweli nikarudishiwa key nikasepa kwa mbwembwee....umeona sasa ..sasa mm nakuambia nimeshikwa unaniambia tunafanyeje?? kufa!
Hahahaaa we Mchimbaji wewe umekomaa walahy
Ni kweli kabisa halafu unayosema, kutokana na personal experience kabisa nafahamu wanawake kibao ambao walikua na uwezo wa kila kitu. Ila swali la sasa tunafanyaje ilikua kila siku mpaka nikawa nachukia sometimes ila nilikua kugundua hayo unayoyasema. Na mpaka saivi mwanamke hawezi kunizid ujanja hata awe CEO wa Boing au NASA huko kudadeki
Na ndo maana unaweza ukashngaa wahuni,bodaboda na bad boys wanaeleweka kirahisi na wanawake no ile hali ya kuwa hajali yan anajilipua kila changamoto haimrudishi nyuma
Hata kama familia hakuna chakula siku hiyo we unasema tulieni tu nakuja nayo ukienda umerudi hata na nusu kilo, sijui majirani wana mgogoro gani na mwanamke umetatua sijui kitu gan kinasumbua umetatua ndo inavyotakiwa
Vijana hawawezi kukuelewa. Wanawake hakupendi bila kuwa na value added. Au umzidi elimu, pesa, umri, hata cheo. Siyo wewe ni lecturer wakati yeye ni Prof. Ukiwa hivyo lazima upambane muwe sawa ila umzidi angalau publications. Unless yupo desperate na hana any option. Wanawake huwa wanatafuta social security kutoka kwa mume.π€£π€£π€£π€£...mwanamke kumuwin ni kitu kidg sana...jitahid uwe smart vby sana ..yaan mzidi kwa kila aspect...atakua ana adabu mwanamke anataka akikupa challenge uitatue...yaan hata kama huna ujuzi na kicho kitu basi jitahid uwezavyo ukinga'amue...! Mwe sijui nielezeje...binafsi mm napenda mwanaume anizidi sana sana yaan iwe 20/80! Ukweli ntastick sana na ww ntahis niko safe mno...! Sio unaambiwa changamoto ndogo unaanza tena muuliza mwanamke wako TUNAFANYEJE!!..
Kuna siku nilibeba mkaa gunia kubwa basi buti haikufunga nikajisahau kbs kuhusu trafiki dah akanidaka ..bas nikawaeleza watu wawili jaman ttafiki amenidaka na mm sitak kumpa hela...mmoja akaniambia dah sasa tunafanyeje! Mwinginr akaniambia nipe simu niongee naye..nikampa..akampa somo mie najitikisa tu najua trafiki hachomoi...na kweli nikarudishiwa key nikasepa kwa mbwembwee....umeona sasa ..sasa mm nakuambia nimeshikwa unaniambia tunafanyeje?? kufa!
Nikujibu, mke wangu tulisoma wote degree ya pili hukoooo na pamoja mimi sikuwa nimetoka familia tajiri, ila nilikuwa nawabeba wote wazungu, wahindi etc.unaposema uwe smart vibaya mnoo unamaanisha nini? naomba ufafanuzi.
Kwa hyo first gentleman wa taifa hana lake pale kwa madam prezdaVijana hawawezi kukuelewa. Wanawake hakupendi bila kuwa na value added. Au umzidi elimu, pesa, umri, hata cheo. Siyo wewe ni lecturer wakati yeye ni Prof. Ukiwa hivyo lazima upambane muwe sawa ila umzidi angalau publications. Unless yupo desperate na hana any option. Wanawake huwa wanatafuta social security kutoka kwa mume.
Mkuu leta vitu basiiiiiKwa hyo first gentleman wa taifa hana lake pale kwa madam prezda
Poa,nasubirianaweka
Mwanzo nilijua wewe ni me, but anyway umeandika vizuri sana.. Na unaonekana upo very smart[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...mwanamke kumuwin ni kitu kidg sana...jitahid uwe smart vby sana ..yaan mzidi kwa kila aspect...atakua ana adabu mwanamke anataka akikupa challenge uitatue...yaan hata kama huna ujuzi na kicho kitu basi jitahid uwezavyo ukinga'amue...! Mwe sijui nielezeje...binafsi mm napenda mwanaume anizidi sana sana yaan iwe 20/80! Ukweli ntastick sana na ww ntahis niko safe mno...! Sio unaambiwa changamoto ndogo unaanza tena muuliza mwanamke wako TUNAFANYEJE!!..
Kuna siku nilibeba mkaa gunia kubwa basi buti haikufunga nikajisahau kbs kuhusu trafiki dah akanidaka ..bas nikawaeleza watu wawili jaman ttafiki amenidaka na mm sitak kumpa hela...mmoja akaniambia dah sasa tunafanyeje! Mwinginr akaniambia nipe simu niongee naye..nikampa..akampa somo mie najitikisa tu najua trafiki hachomoi...na kweli nikarudishiwa key nikasepa kwa mbwembwee....umeona sasa ..sasa mm nakuambia nimeshikwa unaniambia tunafanyeje?? kufa!
Umepita mle mle..hata kubadili bulb ishu...argghh..mie ni mamaπ₯° shukrani mkuuMwanzo nilijua wewe ni me, but anyway umeandika vizuri sana.. Na unaonekana upo very smart
Unakuta wanaume wengine wamezidi mfano hata kuua panya hawawezi wanataka wanawake zao ndio waue kisa 50-50 sasa hapo why usidharaurike.
Umeamua kuja kuntangaza sio..sawa shemuAchana na hela hiyo itoe .sio lazima wanaume wote muwe na hela...mengine ni majaliwa..usmart naosemea mm uweze kutatua changamoto zozote zile...! Yaan hata kama hakuna msos mwambie mwanamke wako nipe muda nijur cha kufanya...yaan sisi tunapenda sana kusikia hayo maneno....mtot karudishwa ada atleast ongea neno la kujionesha uanaume wako bas nafsi yangu itulie ...atleast onesha unajali kwenda shulr na kuongea kiume yaani napenda UJIFARAGUE...kuna wanaume mtoto amerudishwa ada anakuambia mm sina hela unataka nikaibe!!imagine anakuambia hvyo alafu kesho unataka uheshimiwe[emoji19][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]! Yaani jibidishe mzidi kila kitu mwanamke wako yaan ngumu sana kufurukuta..narudia ngumu sana..hata kama mwanamke atakua anahela lakini hawez fanya jambo bila kukuambia wewe....maana anajua unamjali kwenye changamoto zozote...sasa hela huna huna ushauri wala mawazo ,unaleta ukidume wako fyongo weeeee...kaa tu kwa kutulia!
Huu sasa mfano hai..majuzi nilikua na shoga angu yuko njema..mumewe mwalimu wa sec...mkewe anamiliki ishu fulani kubwa...na upande wa mke wanajiweza balaa...
Sasa bibi mtu kamchukua mjukuu amsomeshe sekondari(baada ya baba mtu kusema yy hana hela tena)...sasa mtoto karudi pasaka baba mtu anasema ohh nataka nisafiri naye nikachek shule mliyompeleka...umeelewa?? Yaan mkwe anakusomeshea first born wako ila unataka ukachek mazingira anayosoma mwanao na ni shule expensv ..yule bibi kwa maskio yangu nikamskia anamwambia mwanaye wa kike..anataka kuja kukagua shule aje na ada na usimpe nauli..atafute nauli yake..asitake kutupanda..ameshindwa msomesha mtoto unaleta ukidume hapa[emoji1787][emoji1787]! Kifupi dogo (mtoto)amepanda[emoji574] kwenda shule kamuacha dingi na boxer ([emoji965])yake hapa Moro[emoji1787][emoji1787]!
Mwamba umeongea point sanaKwanza pole sana kwa ajali waliyopata nduguzo, but speaking from my experience wanawake ni wabaya sana kama ukiwa nao kwenye mahusiano halafu ukawa unawadekeza dekeza na kujirahisisha sana ( I mean ukaonyesha kumpenda kupita kiasi, kila anachokitaka unafanya, akikohoa kidogo umo, sijui akitaka hiki unampa, kosa lake unaomba msamaha wewe)
Hapo lazima uchezee za uso, inaonekana hata wewe jamaa pamoja na harakati zako zote kwa huyo demu ulikua bwege ndio maana. The more you love the more you suffer, the more you care the more you are fuck3d!
Nilipitia same scenario niliamini kumpenda sana kwa kujishusha kwake ndio mapenzi kumbe ndio akaniona boya "hakuna anae value cheap item" the same thing kwetu pia wanaume. Baadae after ku suffer rafiki zangu kadhaa wa kike wakanipa siri moja kua
Wanawake wengi wanapenda na kuvutiwa na wanaume (makauzu) sina maana mkawapige wapenzi wenu maana yake hapa ni wanaume wenye kujiamini na kua na misimamo yao, wasiotingishwa wala kubabaishwa na uzuri wa hao wapenzi wao, kifupi kua gentleman ila usiwe too romantic japo all in all ukiwa good financially itakupa confidence zaidi ya kua na misimamo yako heavy
Wote mnaoteswa na wanawake wenu be a man acheni kulia lia kama watoto, wapendeni lakini kuweni na conditions, na limit zenu, usipoiona thamani yako wewe mwenyewe kwanza, hakuna atakayeiona na kuithamini
Mm ujinga wa namna hii na dharau ningewasikia mm na mtoto hata hiyo shule haendi mm masikin jeuriAchana na hela hiyo itoe .sio lazima wanaume wote muwe na hela...mengine ni majaliwa..usmart naosemea mm uweze kutatua changamoto zozote zile...! Yaan hata kama hakuna msos mwambie mwanamke wako nipe muda nijur cha kufanya...yaan sisi tunapenda sana kusikia hayo maneno....mtot karudishwa ada atleast ongea neno la kujionesha uanaume wako bas nafsi yangu itulie ...atleast onesha unajali kwenda shulr na kuongea kiume yaani napenda UJIFARAGUE...kuna wanaume mtoto amerudishwa ada anakuambia mm sina hela unataka nikaibe!!imagine anakuambia hvyo alafu kesho unataka uheshimiwe[emoji19][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]! Yaani jibidishe mzidi kila kitu mwanamke wako yaan ngumu sana kufurukuta..narudia ngumu sana..hata kama mwanamke atakua anahela lakini hawez fanya jambo bila kukuambia wewe....maana anajua unamjali kwenye changamoto zozote...sasa hela huna huna ushauri wala mawazo ,unaleta ukidume wako fyongo weeeee...kaa tu kwa kutulia!
Huu sasa mfano hai..majuzi nilikua na shoga angu yuko njema..mumewe mwalimu wa sec...mkewe anamiliki ishu fulani kubwa...na upande wa mke wanajiweza balaa...
Sasa bibi mtu kamchukua mjukuu amsomeshe sekondari(baada ya baba mtu kusema yy hana hela tena)...sasa mtoto karudi pasaka baba mtu anasema ohh nataka nisafiri naye nikachek shule mliyompeleka...umeelewa?? Yaan mkwe anakusomeshea first born wako ila unataka ukachek mazingira anayosoma mwanao na ni shule expensv ..yule bibi kwa maskio yangu nikamskia anamwambia mwanaye wa kike..anataka kuja kukagua shule aje na ada na usimpe nauli..atafute nauli yake..asitake kutupanda..ameshindwa msomesha mtoto unaleta ukidume hapa[emoji1787][emoji1787]! Kifupi dogo (mtoto)amepanda[emoji574] kwenda shule kamuacha dingi na boxer ([emoji965])yake hapa Moro[emoji1787][emoji1787]!
Huko kutaka kila kitu nivimbe naweza kukitatuaa ndio mtaolewa na kina Abdul Nsimbo mm sio askar sina connection yoyote na hao watu unaniambia mm nikusaidije ww malizana nao kininja labda tungekua wote muda huo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...mwanamke kumuwin ni kitu kidg sana...jitahid uwe smart vby sana ..yaan mzidi kwa kila aspect...atakua ana adabu mwanamke anataka akikupa challenge uitatue...yaan hata kama huna ujuzi na kicho kitu basi jitahid uwezavyo ukinga'amue...! Mwe sijui nielezeje...binafsi mm napenda mwanaume anizidi sana sana yaan iwe 20/80! Ukweli ntastick sana na ww ntahis niko safe mno...! Sio unaambiwa changamoto ndogo unaanza tena muuliza mwanamke wako TUNAFANYEJE!!..
Kuna siku nilibeba mkaa gunia kubwa basi buti haikufunga nikajisahau kbs kuhusu trafiki dah akanidaka ..bas nikawaeleza watu wawili jaman ttafiki amenidaka na mm sitak kumpa hela...mmoja akaniambia dah sasa tunafanyeje! Mwinginr akaniambia nipe simu niongee naye..nikampa..akampa somo mie najitikisa tu najua trafiki hachomoi...na kweli nikarudishiwa key nikasepa kwa mbwembwee....umeona sasa ..sasa mm nakuambia nimeshikwa unaniambia tunafanyeje?? kufa!
Bora Useme... Wengine Tumeumizwa na Kukubali tumeshindwa... Yaani unaumizwa bado unapenda BalaaUnaweza muumiza mwanamke ukabaki unaumia wewe zaidi yake... Kupenda acha tu yaitwe mapenzi. π
ππ hapa hatuko huko kwa matajiriHuko kutaka kila kitu nivimbe naweza kukitatuaa ndio mtaolewa na kina Abdul Nsimbo mm sio askar sina connection yoyote na hao watu unaniambia mm nikusaidije ww malizana nao kininja labda tungekua wote muda huo