Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Duuh dogo Mungu alimsaidia asee inavyoonekana ajali ilikua mbaya sana mpaka kuvunjika kabisa miguu
 
Kwanza pole sana kwa ajali waliyopata nduguzo, but speaking from my experience wanawake ni wabaya sana kama ukiwa nao kwenye mahusiano halafu ukawa unawadekeza dekeza na kujirahisisha sana ( I mean ukaonyesha kumpenda kupita kiasi, kila anachokitaka unafanya, akikohoa kidogo umo, sijui akitaka hiki unampa, kosa lake unaomba msamaha wewe)

Hapo lazima uchezee za uso, inaonekana hata wewe jamaa pamoja na harakati zako zote kwa huyo demu ulikua bwege ndio maana. The more you love the more you suffer, the more you care the more you are fuck3d!

Nilipitia same scenario niliamini kumpenda sana kwa kujishusha kwake ndio mapenzi kumbe ndio akaniona boya "hakuna anae value cheap item" the same thing kwetu pia wanaume. Baadae after ku suffer rafiki zangu kadhaa wa kike wakanipa siri moja kua

Wanawake wengi wanapenda na kuvutiwa na wanaume (makauzu) sina maana mkawapige wapenzi wenu maana yake hapa ni wanaume wenye kujiamini na kua na misimamo yao, wasiotingishwa wala kubabaishwa na uzuri wa hao wapenzi wao, kifupi kua gentleman ila usiwe too romantic japo all in all ukiwa good financially itakupa confidence zaidi ya kua na misimamo yako heavy

Wote mnaoteswa na wanawake wenu be a man acheni kulia lia kama watoto, wapendeni lakini kuweni na conditions, na limit zenu, usipoiona thamani yako wewe mwenyewe kwanza, hakuna atakayeiona na kuithamini
 


Kuandika rahisi...
 
Mapenzi ayana formula mkuu, unatakiwa kuzingatia kitu kimoja, ukipata nafasi ya kumuumiza mwanamke akikisha unamuuuza kisawa sawa yaaani
 
Kuandika rahisi...
Sio rahisi mkuu ila nimemaanisha nilichokiandika, nilikua na mwanamke mkali nikaamini ndo atakua wangu wa maisha, kwao mpaka mama yake alinifahamu, ndugu zake kasoro tu baba yake,, shida nilijirahisisha sana kwake nikaamini ndio mapenzi ya kweli, duh huyo mwanamke alivyorudi chuoni "udsm" nae ali change kama jamaa hapa alivyomuelezea wake.
Nili suffer almost two weeks then nikapata lesson pili nikawa strong kwa sababu ndio option pekee niliyokua nayo, baada ya hapo nilimuacha, nika block kila kitu between us, hapo ndo alert ya hatari ikaingia kichwani mwake sababu aliamini kwake sina ujanja wala siwezi muacha,, mbona alianza kunitafuta upya. Nilimchomolea ila hio ndo ikawa kanuni yangu mahusiano mengine after hapo hakuna mwanamke aliyenitingisha tena sababu ukiwa neutral ukabalance shobo kisaikolojia unakua umempiga mwanamke wako kiasi kwamba atajiona ni wa kawaida.
 
Applies to upande wa 2 pia...mtaishi kwa kuheshimiana sana sana...!
 
Mapenzi ayana formula mkuu, unatakiwa kuzingatia kitu kimoja, ukipata nafasi ya kumuumiza mwanamke akikisha unamuuuza kisawa sawa yaaani
Sio wote wana deserve kuumizwa, mfano kakuumiza mwanamke A ukaachana nae kisha ukawa na mwanamke B unaanzaje kumuumiza wa mfano? Otherwise uwe unaongelea kisasi kwa huyo huyo aliyekuumiza "mwanamke A'

Mapenzi hayana formula kweli lakini wewe lazima uwe na formula zako, mfano mimi nilifanya simple research kwa rafiki zangu kadhaa wa kike na wote wakanijibu kiti kile kile kinachofanana

Kua kujirahisisha sana kwa mwanamke kunakufanya akuone cheap, na wengi wanavyotamani ile ya 50%-50% hapo sasa ndio lazima atumie huo unyonge wako kukuzingua sana, na ukishampa hio 50%-50% watataka wakuzidi tena wawe na 80%-20%
 
🤣🤣🤣🤣...mwanamke kumuwin ni kitu kidg sana...jitahid uwe smart vby sana ..yaan mzidi kwa kila aspect...atakua ana adabu mwanamke anataka akikupa challenge uitatue...yaan hata kama huna ujuzi na kicho kitu basi jitahid uwezavyo ukinga'amue...! Mwe sijui nielezeje...binafsi mm napenda mwanaume anizidi sana sana yaan iwe 20/80! Ukweli ntastick sana na ww ntahis niko safe mno...! Sio unaambiwa changamoto ndogo unaanza tena muuliza mwanamke wako TUNAFANYEJE!!..
Kuna siku nilibeba mkaa gunia kubwa basi buti haikufunga nikajisahau kbs kuhusu trafiki dah akanidaka ..bas nikawaeleza watu wawili jaman ttafiki amenidaka na mm sitak kumpa hela...mmoja akaniambia dah sasa tunafanyeje! Mwinginr akaniambia nipe simu niongee naye..nikampa..akampa somo mie najitikisa tu najua trafiki hachomoi...na kweli nikarudishiwa key nikasepa kwa mbwembwee....umeona sasa ..sasa mm nakuambia nimeshikwa unaniambia tunafanyeje?? kufa!
 
nimecheka sana aiseee.. "eti tunafanyaje sasa"
 
Acha ushamba hujui my na wangu ni neno moja? Eti mywangu sawasawa na barabara ya morogoro road.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…