Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Daaaaah mzee hufai aisee, mi ungekua mwanangu tungeishi tu kwa ile imani ya zimwi likujualo halikuli likakwisha ila imani ingekua haba hata sasa maana umafia upo kwa damu kabisa ww
 
Daaaaah mzee hufai aisee, mi ungekua mwanangu tungeishi tu kwa ile imani ya zimwi likujualo halikuli likakwisha ila imani ingekua haba hata sasa maana umafia upo kwa damu kabisa ww
😂😂😂 huwezi amini nilikua nikijua we ni mwana cwez kukufanyia ukuda, hata uangushe milion yako nitaokota nikupe lakin wale wanyonge afu uwe bishoo tena ckujui hunijui hapo ni maumivu andika kingine lbda unichukize tu
 
Mkuu huyo bishoo mwenye laptop alikua hajui emulation options? VGS, EPSXe etc? Daah, tumefanya Sana haya maujanja enzi hizo
😂😂😂 yani hata me hayo maujanja nilikua cjui yani
 
Inaendelea

Tokea cku hyo nilivyo wadhurumu wale hela yao nilikua najiskia vby kufny vile lakin ckua na namna asee.....kesho nilirud ps huyo jamaa alinambia cku fanya kitu poa yaani madogo walilia kinoma, nilimwambia akaushe tu.

Katika Wakat wakat ambao nilikua naishi kwa kuunga unga ni huo yani hata Mama alikua akinipigia simu kuniuliza kama nachakula namwambia ninacho ( kumbe sina ) yani me nilikua sipendi kuomba omba hela shida zangu nilikua nazitatua alone.

Kuna siku nilikua nimefulia mwezi wa kwanza huo na ulivyo mrefu.Siku nilikua nimeishiwa mpk Gesi uzuri nilikua mwenyew ckuwaza sana.

Wakati gesi imeisha mara Malaria hyoo ikanikamata kisawa sawa lakini hakuna ndugu yangu niliye mwomba hela ya matibabu isipokua sister tu ndo nilimuomba hela lakin alidai hana mpk mwisho wa mwezi.Kwa vile me hua bundle ni la umuhimu sana kwangu na nilikua nalo niliamua kuingia YouTube kutafuta dawa ya malaria za asili.

Nili bahatisha dokta mmoja hivi alikua anaonyesha madawa basi huyo dokta alidai eti dawa ya malaria uchukue majani ya mpapai,mchai mchai, majani ya mwembe na tangawizi unazichemsha alafu unakunywa cku tatu malaria kwishnei.

Nilifanya kama dokta alivyotoka kwa vile gesi sikua nayo niliamua kuzi blend hizo dawa afu nikanywa.Glass moja ilitosha kunitapisha yaan niliishiwa nguvu nikawa naona kiswahili swahili ( dizzying cjui ndo kizunguzungu ) nililala kwanza naona kama nataka kufa vile.

Mungu saidia nilickia mlango unagongwa nilimwambia aingie ndani.Alikua ni mpwa wangu wa kike alikuja pale home kuchuma malimao kwa vile alinikuta naumwa alinipa msaada plus na kuninulia msosi na dawa ( mseto ) nilimwambia asiwaambie Wazaz wangu akaushe tu lbda kama nikiwa mgonjwa sana.

Siku hyo ilibid alale pale ko kesho yake aliniachia 10k akasepa.Kwa vile nilikua na nafuu kidogo niliamka nika mwaga ile dawa niliyoitengeneza wakat huo nataka kuweka movie nione mara umeme ukakata kucheki ni Luku, nikasema balaa lingine hilo.Nilinunua Umeme wa 5k nikabaki na buku tano.

Nilikua sina mpango wa kwenda Ps lakin ilibid tu niende labda ningepata pesa yoyote.Jioni nilielekea ps nilimkuta boss yupo ko nilikaa nae nje tukapiga story tu za kutosha.Kipindi tunapiga story alikuja jamaa mmoja akanambia ana Namba za mtoto mmoja mzur hatar kama nataka anipe, nilimwambia anipe akanipa.Wakat huo alitokea jamaa mmoja tena yeye ni Mwalimu hua pia ni mteja sana wa ps, nilimtoa pembeni nikamwambia naumwa hatare kama anaweza kunisaidia anikopeshe pesa...alinambia shngp nikamwambia 50k siyo mbya huyo ticha hakua na hiyana alinipa alafu nikamwambia ndani ya wiki moja hela yake nitampa akasema sawa nikawa na 55k ile namaliza kuongea na huyo ticha yule classmate wangu aliniita kuwa kuna mtu anataka kucheza loser.

Nilienda kalikua ni kajamaa kamoja hivi Kembamba a, nilimuuliza huyo kimbau mbau kama ana pesa za kutosha maana me hua sichezi game na watu wenye pesa ndogo.Alinambia pesa ipo ya kutosha huku anatoa wallet yake kunionysha.Nilimwambia afungue hyo wallet ni hakikishe kama kweli kuna pesa alifanya hivyo.

Nilivyoona zile hela kwenye wallet nilisema lazima nichukue hyo wallet ko tulianza kucheza game lakin akili ilikua kwenye wallet yake.

Na vile alikua amevaa pensi ( zile pensi flani hivi fupi ) na shati kubwa, ko wallet yake ilikua haiko yote ndan ya mfuko wa pensi.Kwa vile tulikua tumekaa karbu kipindi jamaa akiwa ana panga wachezaj wake alikua busy kupanga me nikatumia huo muda kumchomolea wallet yake.Nilivyoichukua wallet nilitoka nayo nje kwa gia ya kwenda kukojoa.nilichukua 30k ko nikawa na 85k.

Nilirud ndani na ile wallet jamaa alikua bado busy ko niliiweka chini kwenye uvungu wa kiti chake, alafu nikaendelea kumsubir amalize kupanga.Kipindi na mchukulia wallet yule classmate aliniona sana sema alikausha na alivyokua ananiogopa.

Huyo jamaa nilimwambia mbn wallet yako ipo chini huitak nini?....et ndo akashtuka na kuichukua akaiweka mapajan mwake.Tulicheza game na nilimfunga karbu mech zote [emoji23][emoji23] alivyoona mimi na mfunga tu aliacha kucheza.Alilipa 7000 kwa mech alizopoteza.

Classmate nilimwambia anipe hata buku mbili akaanza kulialia na huku me ndo nilikua na mpa hela kubwa ( yani me ndo nilikua mercenary wake kwenye kucheza LOSER ).


Saa mbili kama na nusu usiku nilisepa zangu home.Ile nafika tu home Rafiki angu wa church akanipigia simu kuwa kuna tenda ya lindo ( kulikua na mahubir yana karbia kuanza ) nilimuulizia ni shngp wanatupatia akasema 70k kwa wiki mbili nilikubal kisha nikaanza kuwaza nafanyaje na ile hela niliyokua nayo.

Kesho yake nilijaza gesi 50k na kufanya mambo mengine.Mahubr yalivyofika nilipiga ile tenda ya lindo.

Sasa tulikua tunalinda watu 3 jamaa yetu mmoja tuliyekuwa tunalinda nae.huyo jamaa alikua nae ni tapeli tu kidogo atupige...Kumbe wakat sisi tunahesabu cku ziende mahubir yaishe jamaa yeye alienda kusema kwa muhazin kuwa Sisi tunataka watupe advance ko kati ya 210k walimpa 150k hata akutwambia.kipind mahubir yanaisha kwanza jamaa cku hyo aliwai kuondoka, nilienda kudai pesa kwa muhazin akatupa 60k alitwambia nyingine mbn alishampa jamaa kuwa alidai eti tumemtuma.

Ko ile 60k nilichukua mimi huyo jamaa nikamwambia akamdai yule jamaa hela, alibisha bisha lakin alikubali....nackia aliambulia kupewa 30k kati ya 70k me nae nilikaushia elfu kumi yangu.

Mama alinambia niende alipo, alinitumia nauli nikaamua niende tu cku hyo hyo.nilifika nilikuta watu wanapalilia mashamba duh...afu me hizo kazi ndo nilikua czwez kabisa, sikuzizoea kabisa.

Nilikaa bush mpk korona ilinikuta niko bush, sule zilivyofungwa ile likizo ya korona.tulijikuta tuma rejoin kwa pamoja kama familia.

Nilifurah kukutana kama familia yani me na ndugu zangu.


nitarejea tena.
 
shusha nondo mkuuu shusha shusha
 
Hahahaaa mzee wako alikua don kwa muda, hela ziliisha baada ya muda gan...zilimaliza mwaka kweli?
 
Nitakua sina shukrani kama nitapita kimya kimya japo toka jana nilivyoanza kuisoma nimemwaga ma like yakutosha ila Mwamba umetisha sana,umejitahidi sana kuandika nakupangilia story yako hicho nacho nikipaji tosha
 
Hahahaaa, nimecheka sana eti ukaona hata bodaboda itakuangusha ukatembea.... Huyo rafik wa liz alijuta
 
Inaendelea


Nirudi tena kwa Manzi angu...............


Kabla My wangu hajaenda chuo tulikua tunapendana balaa nikikumbuka mapenz aliyokua akinipa....ila mapenzi yakiwa yamenoga sana basi ujue ndo yanakarbia kuisha ( kwa kizaz chetu lakin ) kuna cku Manz alinambia anasafir kwenda Simiyu kuchukua Cheti cha form four ili aweze ku aplayi ( apply) Chuo, basi alinambia atarud cku hyo hyo ko nije nimpokee stend wakat akirud.

Kweli alisafir na wakat akiwa njian anarud alinambia niende kumpokea, ilikua usiku ckuhyo kimvua cha uongo kilinyesha na baridi ndo ilikua ya kutosha.

Mtaalamu ilivyofika saa mbili nilifunga ofisi huyo nikadandia boda kwenda kumpokea Mywangu nilifika stend ya zamani basi lilikua bado halijafika ilibid nimsubir.Ilifika saa tatu Basi likawa limefika AFRICA RAHA mtoto akashuka nikampokea pochi yake, tukaenda kwa boda mmoja ni mtu mzima tukapanda.Mywangu ndo alianza kukaa na kwa vile alikua amevaa kimini alikaa ki kike alafu me nikakaa nyuma yake.

Wakat boda iko kwenye mwendo wa taratibu me nilikua nampiga mabusu mazito mtoto wa watu mpk akawa hoi [emoji23][emoji23] nilikua nampapasa kwenye matiti na kiunoni, cjui yule boda aliona wivu au hisia zilimzidi.Tulivyofika ile njia ya kwa mkuu wa mkoa tulishangaa pikipiki inasimama.Boda alitutaka tushuke tuchukue boda nyingine aligomba kuwa hatuna adabu [emoji23][emoji23] yule myngu alimwambia adabu gani na huku hela unapewa [emoji1787].

Ila hili tukio nikilikumbuka hua nacheka tu....basi tulichukua boda nyingine maana yule boda alivyo tushusha hakutudai hata hela, tulipanda tukasepa mpk kwao na Manzi mitaa ya Kamnyonge tuliagana nikasepa zangu kwa rafiki zangu ni wape hyo story.


Sema hyo Mywangu alikua anapendwa na wengi walikua wakimtongoza ananambia fulani kamtongoza ko nilikua cna noma na hao wanao mtongoza maana nilijua nao wanajarbu bahat zao.

Me nilimwambia tu heshima ndo anipe.Jamaa mmoja tulikua tuna sali nae walikua ni marafiki wakubwa na Mywangu mpk kuna cku moja tukia church manzi alinambia anajiskia vby ko akaondoka kwenda kwao..nilimwambia anisubir sehemu hivi nitamkuta.Sasa ile sehemu tuliyokubalia kuwa nitamkuta nilifika nikamkuta kasimama na kale kafala ( rafiki ake )..niliwapita bila kuwa semesha hasira zikawaka hatari.Dem mwenyew alijua akanifuata ananiita siitiki ( eti nikawa nimenuna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ) alinikimbilia akaanza kusema ooh...usinifikirie vby yule ni rafiki cjui nini cjui nini....yani alijitetea sana cku hyo akanambia me ndo bwana ake wa maisha ( ila nyie watoto wa kike nyie [emoji23][emoji23] acheni laana za bure bure ) hasira ziliisha tukaanza kupiga story za kawaida.


Siku anaondoka kwenda chuo basii tabu ikaanza kuwa juu yangu...niki mtext kujibu mpk apende nikimwambia mbn kimya mara cjui yupo busy na kitabu na uki check last seen yake whatsapp ni online duh..na nilijua sina changu mpk nikakumbuka wasela walinambia kua huyu demu akishaenda chuo basi huna chako.


Demu alifanya stress zangu zizidi kuwa nyingi ukijumlisha na yule classmate kunipindua pale job.kuna cku ameweka status yupo na bishoo mmoja huko chuo ( Udom ) niliumia cjawai kuumizwa hivyo ila uzur hayo maumivu yalikua yananijenga [emoji23][emoji23][emoji23] chakula kikua hakipiti yani mpk home walikua wanambia mbn ckuiz huwa unakula wapi mbn hatukuon ukikula...yan nyie acheni tu mapenzi.

Kabla hatuja achana rasmi na bado alikua hajaenda chuo nilijisikia vby ckumoja nilimsaliti.

Siku hyo ilikua hivi....Nilitoka job usiku sana nilifika home nikawa na chat na huyo mywangu.nilitoka nje kuongea na simu.ile namaliza tu kuongea naskia sauti ikiniita hoy..holy we holy...ilikua ni saut ya kike

kalikua ni kabinti kadogo ka form two alikua anaishi na bibi ake na walikua ni jirani zetu.Nilimfuata kusikia anasema nini...hakua na chamaana sana kuniambia.Nilimtaka tukapige story kwenye ile nyumba yetu iliyokua bado haijamaliziwa kujengwa, kalizingua kidogo lakin kakakubali.

Ile naondoka naye hivi bibi ake alitoka nje acha aanze kugomba kuwa mampelekea wapi mjukuu wake.niliona ili asilete noma nilimpa buku 2 huyo bibi akatulia kama sio yeye aliyekua anagomba.Alitaka niwai kumrudisha mjukuu wake.

Tulienda kwenye hyo nyumba ckua na story ko nilikapiga rungu katoto ka watu alafu nikarudisha kakalale.

Hako katoto nako kalienda kusimulia kwa marafiki zake ko noma ilikuepo lakin sio sana.


Tarehe 01 January 2020 ndo mapenzi yangu na Mywangu yalifika tamati siku alinipigia ( wakati huo yupo chuo ) akanitakia heri ya mwaka akadai mapenz yetu yazid kukua kwa jina la Yesu kristo.

kesho yake tarehe 02 nikaona status kaniweka kaandika caption old alafu status iliyofuatia alikua yeye na mpenzi wake mpya kaandika "*new chapter *".....jamani me nilikua na mademu wengi lakin cku hyo niliumia sana.

Mpk niliweka hapa Uzi nikiomba msaada wa namna ya kusoma sms za mpenzi wako bila yeye kujua.

Nilimua kwa muda lakini niliona ni ujinga kwa mtu kama mimi kuumia umia kisa mapenzi.Kwanzs nilimtafuta lizy wangu tukayajenga upya ingawa alikua mdangaji ckua na namna kabisa.


Note.Hapo nimewarudisha nyuma kidogo kabla cjaanza kutapeli/ kudhumu watu.


Nitarejea.
 
paragraph hii imenifanya niuzunike mnooo aiseee..... mimi nipo kwenye majonzi mazito mnooo... demu kaenda chuo na kuachwa nimeachwa aiseee, ninacho shukuru mimi najua kutafuta pesa naamini after two year ntakuwa na ela nyingi sana yani na kumiliki kila itaji la moyo wangu.
 
vipi kamanda ulifanikiwa kuweza kusoma sms zake bila kujua.Nifundishe tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…