Hadithi ya kweli ya maisha yangu

Noma sana aiseeeeeeee
 
Watu wenye mili mikubwa wengi tuna tendency ya kukoroma tukilala [emoji2][emoji2]
 
wewe ni jambazi by professional kabisaaaaaa..
 
Nimeamini mtoto wa nyoka ni nyoka.Hii familia baba,mama na wototo wote wazee wa matukio ila dogo lako hatari.Mkitengeza team mnaweza kuiba ata Benki Kuu hahaahaa
 
Inaendelea


Shangaz yangu huyo alie kuja hapo home alikua ni mnaa sana yaan alikua anajipendekeza sana kwa huyo jamaa ( mtoto wa mwnye nyumba ) eti alianza kunipeleleza nilikua na mchora tu na mambo yake hayo mabovu, kuna siku aliniita kunishaur niachie tabia zangu za wizi nilimjibu shit japokua ni shangaz ckujali....tena nilimsachi begi lake kipind ameenda kuoga ckukuta cha maana nikamchukulia bandana yake ( kitambaa cha mkononi ) maana ndo niliona cha maana.


Kanisani napo nilikua siachi kwenda tena kama zoez la kwaya nilikua sikosi ( napenda sana kuimba )....lakin licha ya kusali bado nilikua naendelea na mishe zangu japokua bangi na ndugu zake nilikua situmii kabisa na hata yule Manz angu wa kwanza kabisa nilipunguza mazoea nae maana nilikua na chombo home najilia nikitaka.

Kukaa idle napo ni kubaya sana yaan nilikua nilipunguza urafiki na vijana walio kuwa wako chuo niliwaona ni tatizo kwangu kuna mmoja alikua akija home nikujisifia tu elimu yake na kuniona me sina maana kisa tu me siko chuo.Nilimpiga marufuku asije home kabisa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni cheke kwanza [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mdogo wangu wakike bna yeye ni muongo balaa asickie jambo lazima alilete alafu ana mikwara hatar yaani na umri wake mdogo lakin ulikua ukiona mtu anae mpiga mkwara utabaki kucheka tu.

Zamani kipind ndo nime risiti mtihan wa form four sasa kwenye kituo chetu tulichofanyia mtihani tuliji organize tufanye kasherehe, alafu me ndo nilikua mtunza hela wao, sasa bna tulikua tushatoa 72k kwa ajili ya hyo sherehe sasa kipindi bado naendelea kukusanya hela wadau walizingua kufanya hyo sherehe ko ikawa imehairishwa,ikabid kwa walio kwisha toa hela wachukue hela zao.


Kwa vile hela nilikua nazitunza mimi ilibid waje wazifate home na mwenyekit wa kamati awape wenye nazo.

Ilikua jumapili nakumbuka nilimpigia simu mwenyekit wa kamat aje achukue hela home, nilikua chumbani nazihakikisha kama zipo zote, kumbe huyo mdogo wangu alikua ana nichungulia kwenye vitobo vya mlango.

Na cku hyo alinijua kuninyong' onyesha asee...hela nilizirudisha chini ya godoro zilikua kwenye kaunta book yenye majina ya walio changa, nilitoka tu dogo aliingia akachukua hela zote akasepa nazo [emoji23][emoji23].

Ile naongea na mwenyeekit kumuulizia kafika wapi akanambia yupo tanesco anakuja kwa pikipiki.

nikasema nizitoe hela ili niende kumkabidhi jamaa barabarani, lahuuuula pesa zilikua hazipo nilichanganyikiwa asee.....yaan nilitafuta mpaka chooni...nilimuuliza madogo ikiwa na huyo wa kike walisema hawajui...nilimuhis hyo wa kike maana ndo ilikua tabia yake kutuweka roho juu lakin jinsi alivyokataa nikawa sina namna kwa kweli.

nilianza kutunga uongo wa kusema lakin ukanikosa na mwenyekit nae alizid kukarbia kufika tulipokubaliana kukutana.

Nilizima simu ili nisipatikane nikawaambie madogo pamoja na sister kuwa kama mtu akija niulizia waseme siishi hapo.niliingia chumban nikafunga mlango nikawa nawaza hela zimeenda wapi nilianza kuwa shuku washkaji zangu fulani hivi sema ndo ckua na ushahid zaid ya kukisia tu.

Niliamua nilale ili nipunguze mawazo ndo dogo alivyoona kuwa lengo lake la kuniona nime nyong' onyea kutimia ndo akaja kugonga mlango akanipa hizo huku ananicheka sana....nilishindwa hata kumpiga nikabaki nacheka na mimi moyoni nikisema umeniweza leo.

Niliwasha simu chapu nikakuta text za mwenyekiti nikampigia nikamwambia simu ilikua imezima charge ko nilimtaka aje home badala ya kukutana barabarani.

Kweli dogo aliniweza cku hyo ukiachana ukorofi wake alio kuwa akiwafanyia majirani, yaani kuna siku pia aliweka chumvi kwenye maji ya ugali sister bila kujua alipika bila kujua.Ugali tulimwaga yeye kama kawaida yake alibaki anacheka tu.jiran yetu mmoja nae aliwekewa chumvi kwenye maji ya ugali walimuona na watoto wenzie lakin alivyokataa kuwa sio yeye mpk huyo jiran aliomba msamaha...cc tulijua tu ni yeye lakin tukakaushs maana hyo tabia tuliijua ni yake.

Nimeamua kumwelezea huyu dogo langu kwa sababu alikua ananiokoa sana kunipa taarifa za jamaa ( mtoto wa mwenye nyumba )

Shangazi yeye alichoka mwenyewe kutoa info za uongo huyo jamaa mpaka akasepa kurud kwa mume wake huko.


nitarud tena.
 
Nimeamini mtoto wa nyoka ni nyoka.Hii familia baba,mama na wototo wote wazee wa matukio ila dogo lako hatari.Mkitengeza team mnaweza kuiba ata Benki Kuu hahaahaa
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii familia inahitaji maombi,mdogo wako nae ana matukio
 
Hahaha huyo dogo ni hatari.hiyo namna ya kujificha kama maiti asiende shule nimecheka sana
yaan alafu alikua anafanya karbu kila siku na cc tulikua hatujui kabisa
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Nimecheka hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…