Hadithi ya kusisimua- Mimba ya Jini

jamani naombeni kujua nikitaka kucheki post za mzizi mkavu naenda wapi ili nikachague hadithi zilizokwisha kutumwa hadi mwisho nisome maana nyie mmefuatilia hii hadithi tangu mwaka jana mimi nimeisoma leo nimeshafika mlipo so naninavyomjua mzizi ataifanya kama yake vile au yeye ndio shigongo so atatupeleka kila wiki nataka niiache kama nilivyoiacha ile ya nusu siku ndani ya jeneza ila ya daraja la salenda niliifaidi maana nilikuta imeisha so nikajisomea zangu na heltho yangu pembeni mimi kumpigia magoti mzizi kila siku ntakufa na kihoro bure niambieni tuu zilipo nikajisomee kwa utulizu
 

Zipo kule kule ilipoipata ile ya daraja la salenda mwanzo mpaka mwisho
 

Zilipo!!!??? Hivi hujui kwamba bado zinatungwa!!!:what:🙄🙄🙂
 

dah unatsha nasubl mwendelezo
 
hizi hadithi ni za global publisher au za shigongo maana kama umsomaji wa magazeti pendwa kama risasi utazikuta zinaendelea juma kwa juma mzizi anazitoa kwenye hizo link kama tungekua tunazijua hizo link nirahisi kuzifuatilia but mimi sizijui hizo link so nafuatilia kwa mzizimkavu lkn pia mzizi hajaanza leo kuzitupia humu so kuna hadithi nyingi alishawahi zitupia nataka kujua jinsi ya kuingia kwenye wall ya mzizi na kuanza kusoma post zake naamini nita zikuta nyingi zilizo kwisha kufika mwisho hope umenielewa japo kiduchu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…