Hadithi: Wakili wa moyo

duuuuuhhh.....hadithi tamu ila huwa mnatuacha njiapanda kama ya akina Bitungu imeishia wapi??
Hakimu ametoa hukumu na moyo umeshinda kupitia wakili wake
 
thanks ilikua safari ndefu sana hatimaye tumefika asante kwa wote walioanzisha walioendeleza na waliohitimisha
much love kwa wote ...

km kutakua na nyingine msisite kunitag
 
thanks ilikua safari ndefu sana hatimaye tumefika asante kwa wote walioanzisha walioendeleza na waliohitimisha
much love kwa wote ...

km kutakua na nyingine msisite kunitag
Asante kwa niaba na karibu
 
Haikua fair kwa mage kusema kweli bora mage angeolewa na hans
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…