Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 14,563
- 22,839
Hakimu ametoa hukumu na moyo umeshinda kupitia wakili wakeMaskini Mage....malipo ya umalaya hayo
Hakimu ametoa hukumu na moyo umeshinda kupitia wakili wakeMaskini Mage....malipo ya umalaya hayo
Hakimu ametoa hukumu na moyo umeshinda kupitia wakili wakeduuuuuhhh.....hadithi tamu ila huwa mnatuacha njiapanda kama ya akina Bitungu imeishia wapi??
Asante kwa niaba na kaributhanks ilikua safari ndefu sana hatimaye tumefika asante kwa wote walioanzisha walioendeleza na waliohitimisha
much love kwa wote ...
km kutakua na nyingine msisite kunitag
KaribuKwa kweli asante
Malizia mzigo huo nimekuletea
KaribuImeishia poa sana. Asante
Mage angekuwa na msimamo toka awali yeye ndo alikuwa wa kuolewa na colin, kuna nyingine hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/770099-dokta-mimi-siumwi-huko.htmlHaikua fair kwa mage kusema kweli bora mage angeolewa na hans
Ndo imeisha mkuu kuna nyingine hapa karibu https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/770099-dokta-mimi-siumwi-huko.htmlkwa hio ndo Imeisha hivyo !!!!!
Karibuuuuu kuna nyingine hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/770099-dokta-mimi-siumwi-huko.htmlAsanteeeeeeeeee
Karibuuuuu
Mage angekuwa na msimamo toka awali yeye ndo alikuwa wa kuolewa na colin
kuna mzigo mwingine huu hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/770099-dokta-mimi-siumwi-huko.htmlImeishia poa sana. Asante
Kuna nyingine hii hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/770099-dokta-mimi-siumwi-huko.htmlthanks ilikua safari ndefu sana hatimaye tumefika asante kwa wote walioanzisha walioendeleza na waliohitimisha
much love kwa wote ...
km kutakua na nyingine msisite kunitag