george aloyce
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 1,302
- 2,031
SITASAHAU NILIVYOPATA UMAARUFU BAADA YA KULALA NA MAITI MOCHWARI LAKINI BAADAE YALIYONITOKEA SIKUTEGEMEA~01
Ni miaka mitano imepita
tangu nilipokuja Dar es salaam kutafuta maisha haikua rahisi sana nilipambana na kupigana zaidi na maisha pamoja kwamba nilikua nmesomea masuala ya uuguzi lakini nilipata changamoto nyingi hasa kwenye utafutaji wangu wa ajira. Niliishi kwa marafiki huku nikipambana kwa njia nyingi sikuchagua kazi nilifanya kazi zilizo za halali kujipatia kipato hatimaye nilifanikiwa kupanga chumba changu na kuanza kujitegemea kwa biashara ya kuuza maji pamoja na kujichanganya kwenye kusukuma matoroli.
Baada ya msoto wa muda mrefu
nilipata kazi hospitalini sekta ya mochuary. Nilipewa nyazifa ya kuwa msimamizi mkuu wa wafanyakazi wote wa pale mochoary, ilikiwa ni furaha kwangu lakini si sana kwasababu sikupenda kufanya kazi kitengo hicho cha Mochuary lakini kutokana na ugumu wa maisha niliokuwa nao nilikuwabali, hata hivyo msimamizi mkuu wa hospitalini hapo aliniahidi kwamba nifanyanye kazi kwa muda kidogo aone mwenendo wangu kama ataridhishwa nao atanipangia kitengo kingine
. Basi kutokana na kwamba nilikuwa nikiishi maeneo ya vingunguti mbali na hospitalini nilipoajiriwa nimuomba boss msaada wa pesa kidogo ili nihamie maeneo jirani na hospitali ili iwe rahisi kwangu kufanya kazi kwa ufanisi na bila changamoto.
"Nimekuelewa Devi lakini hapa hospitali kuna nyumba kwa ajili ya watumishi, unaweza ukahamia hapa ukakaa kwa muda wakati ukiendelea kujipanga zaidi na maisha" Aliambia boss. "Asante boss" Nilimjibu. Alinitolea mkataba na kunipa niliusoma kwa makini na kuusaini kwani ilikuwa ni hospitali ya mtu binafsi.
Nilipewa card ya benki pamoja na viambata vingine vya kuhifadhi. "Mr. Devi utaanza kazi jumatatu hizi siku mbili tatu fanya taratibu zako za kuhamia hapa hospitali pamoja na kujiweka sawa kiakili kwa ajili ya kuanza kazi" Aliniambia boss. "Sawa boss Nashukuru pia kama hakuna lingine boss naomba niage nikatekeleze yale uliyoniambia".Niliaga na kurudi nyumbani.
Siku iliyofuata nilianza jitihada za kuhamia pale hospitalini, nilihamia kwenye chumba kikubwa, choo na maji vyote vilikuwa ndani kwa ndani. Pia kulikuwa na sebule kubwa hakika nilifurahi na kujisemea moyoni " Oooh Thanks god nimepata ajira nitayabadilisha maisha yangu kwa miaka mitano nitahakikisha hili sebule linajaa kila aina ya furniture" Niliongea peke yangu
huku nikitembeza macho kwenye sebule ile.
Ilikuwa ni siku ya Jumatatu asubuhi nilianza majumu yangu ya kikazi pale hospitalini kama kawaida. Kazi nilizotakiwa kuwajibika nazo
ni kupokea maiti na kuhakikisha zimeoshwa vizuri na kupuliziwa manukato mazuri kisha zinapewa namba na kuhifadhiwa kwenye majokofu maalumu ya kuhifadhia maiti. Hatimaye siku zilienda mbio kama difenda huku nikendelea na kazi yangu lakini nilihitaji kuwa mke, chakushangaza kila mwanamke niliyemtongoza na kumueleza ukweli wa kazi yangu penzi lilikufa papohapo, hata manesi wa fild waliofika hospitalini hapo waliogopa kama ukoma.
Taratibu nilianza kuichukia kazi yangu
kidogo kidogo nikashawishika kwenda kwa mganga
ili nipandishwe cheo kazini. Mganga aliniuliza kazi yangu sikusita nilimuambia. Akafanya manyanga yake na mwisho akaniambia. "Bwana Devi nyota yako ni sana endapo utaitumia vizuri hata hiyo kazi yako utaiacha maana utakuwa bilionea ndani ya nchi na hata nje ya mipaka ya nchi ila tu
kwa kutekeleza haya nitakayokuambia sema tawire." Aliniambia mganga "Tawire mganga" Nilijibu huku nikiwa na shauku ya kutaka kujua ni mambo gani mganga anataka niyatekeleze ili niwe maarufu.
"Devi ili uwe maarufu shariti la kwanza utatakiwa kufanya mapenzi na maiti baada ya hapo haitapita wiki utaona muujiza wako" aliniambia mganga. Nilimtolea macho
ya mshangao na kumuuliza . "Mh mganga yani nikafanye mapanzi na maiti kabisa
" Nilimuuliza. "Ndio maana yake hilo ndilo Shariti lako, utajiri ni mgumu sana usifikiri ni rahisi kama kutawaza tak* lako mshenzi wewe" Aliniambia mganga na kumalizia na tusi.
"Heee babu mbona unanitusi tena" Nimuuliza. Akabehua kama mtu aliyeshiba sana kisha akaniambia. "Sio mimi niliyokutukana ni mizimu maana unataka vitu vya bwerere unadhani utajiri ni matak* kwamba kila mtu awe nayo mpuuzi wewe" Aliongeza mganga maneno hayo. Moyoni nikasema "mh ama kweli hiki kizaa zaa lakini ni kweli utajiri haupatikani kirahsi acha nitekeleze agizo kwani nani ataniona, nitafanya siri yangu" Nilikubali, mganga akanipa vidawa dawa na maneno kadhaa kisha tukaagana.
Jioni niliwaambia wafanyakazi wenzangu ambao wana shifti za usiku kwamba "Junior na Roberty, leo mkapumzike muangalie familia zenu nitawasaidia Shift yenu ya usiku"_Niliwaambia ili niweze kutekeleza azima yangu kirahisi. Nao walifurahi sana " Hayo ndio mambo bwana Devi kazi ni kusaidiana" Aliniambia Junior. Basi usiku nilibaki mwenyewe eneo la Mochwari, mara ikafika gari aina ya Toyota Pckup, ilikuwa imebeba maiti na kwa bahati nzuri ilikuwa ni maiti ya kike ambayo ilikuwa na utambulisho wa jina la KURUTHUMU JABIR, niliipokea maiti ile na kuwakabidhi waoshaji wa kike, wakaiosha vizuri baadae wakanikabidhi niiifadhi.
Mpaka kufikia saa saba usiku hakukuwa na mtu pale hospitalini zaidi manesi wa usiku waliokuwa wanapitapita kwa mbali, basi nikazama ndani ya chumba cha mochuary na kuitoa ile maiti ya Kuruthumu kwenye Jokofu kisha nikaiweka sakafuni na kuitoa sanda ikabaki uchi kama ilivyozaliwa. "Hii ndio nzuri kwanza bado ya motomoto
" nilijiambia mwenyewe kisha nikazima taa mule mochuary pakawa giza totoro, nikavua nguo zangu ili nianze kazi, ile natumbukiza mnara wangu ndani ya utam wa ile maiti ghafla nikasikia sauti "assssssssss" macho yalinitoka kwa mshangao
sijakaa sawa ghafla ile maiti ikataka kunikukimbatia niliruka pembeni haraka na kuwahi kwenye swichi ya umeme, ile nawasha taaa......... 
Naaaam, huu ndio mwanzo tu wa mkasa huu wa kweli ulioandikwa na mwandishi George pangalas je unasoma mkasa huu ukiwa wapi? Jibu ili nikutag sehemu ya pili.
Ni miaka mitano imepita
tangu nilipokuja Dar es salaam kutafuta maisha haikua rahisi sana nilipambana na kupigana zaidi na maisha pamoja kwamba nilikua nmesomea masuala ya uuguzi lakini nilipata changamoto nyingi hasa kwenye utafutaji wangu wa ajira. Niliishi kwa marafiki huku nikipambana kwa njia nyingi sikuchagua kazi nilifanya kazi zilizo za halali kujipatia kipato hatimaye nilifanikiwa kupanga chumba changu na kuanza kujitegemea kwa biashara ya kuuza maji pamoja na kujichanganya kwenye kusukuma matoroli.Baada ya msoto wa muda mrefu
nilipata kazi hospitalini sekta ya mochuary. Nilipewa nyazifa ya kuwa msimamizi mkuu wa wafanyakazi wote wa pale mochoary, ilikiwa ni furaha kwangu lakini si sana kwasababu sikupenda kufanya kazi kitengo hicho cha Mochuary lakini kutokana na ugumu wa maisha niliokuwa nao nilikuwabali, hata hivyo msimamizi mkuu wa hospitalini hapo aliniahidi kwamba nifanyanye kazi kwa muda kidogo aone mwenendo wangu kama ataridhishwa nao atanipangia kitengo kingine
. Basi kutokana na kwamba nilikuwa nikiishi maeneo ya vingunguti mbali na hospitalini nilipoajiriwa nimuomba boss msaada wa pesa kidogo ili nihamie maeneo jirani na hospitali ili iwe rahisi kwangu kufanya kazi kwa ufanisi na bila changamoto. "Nimekuelewa Devi lakini hapa hospitali kuna nyumba kwa ajili ya watumishi, unaweza ukahamia hapa ukakaa kwa muda wakati ukiendelea kujipanga zaidi na maisha" Aliambia boss. "Asante boss" Nilimjibu. Alinitolea mkataba na kunipa niliusoma kwa makini na kuusaini kwani ilikuwa ni hospitali ya mtu binafsi.
Nilipewa card ya benki pamoja na viambata vingine vya kuhifadhi. "Mr. Devi utaanza kazi jumatatu hizi siku mbili tatu fanya taratibu zako za kuhamia hapa hospitali pamoja na kujiweka sawa kiakili kwa ajili ya kuanza kazi" Aliniambia boss. "Sawa boss Nashukuru pia kama hakuna lingine boss naomba niage nikatekeleze yale uliyoniambia".Niliaga na kurudi nyumbani.Siku iliyofuata nilianza jitihada za kuhamia pale hospitalini, nilihamia kwenye chumba kikubwa, choo na maji vyote vilikuwa ndani kwa ndani. Pia kulikuwa na sebule kubwa hakika nilifurahi na kujisemea moyoni " Oooh Thanks god nimepata ajira nitayabadilisha maisha yangu kwa miaka mitano nitahakikisha hili sebule linajaa kila aina ya furniture" Niliongea peke yangu
huku nikitembeza macho kwenye sebule ile.Ilikuwa ni siku ya Jumatatu asubuhi nilianza majumu yangu ya kikazi pale hospitalini kama kawaida. Kazi nilizotakiwa kuwajibika nazo
ni kupokea maiti na kuhakikisha zimeoshwa vizuri na kupuliziwa manukato mazuri kisha zinapewa namba na kuhifadhiwa kwenye majokofu maalumu ya kuhifadhia maiti. Hatimaye siku zilienda mbio kama difenda huku nikendelea na kazi yangu lakini nilihitaji kuwa mke, chakushangaza kila mwanamke niliyemtongoza na kumueleza ukweli wa kazi yangu penzi lilikufa papohapo, hata manesi wa fild waliofika hospitalini hapo waliogopa kama ukoma. Taratibu nilianza kuichukia kazi yangu
kidogo kidogo nikashawishika kwenda kwa mganga
ili nipandishwe cheo kazini. Mganga aliniuliza kazi yangu sikusita nilimuambia. Akafanya manyanga yake na mwisho akaniambia. "Bwana Devi nyota yako ni sana endapo utaitumia vizuri hata hiyo kazi yako utaiacha maana utakuwa bilionea ndani ya nchi na hata nje ya mipaka ya nchi ila tu
kwa kutekeleza haya nitakayokuambia sema tawire." Aliniambia mganga "Tawire mganga" Nilijibu huku nikiwa na shauku ya kutaka kujua ni mambo gani mganga anataka niyatekeleze ili niwe maarufu."Devi ili uwe maarufu shariti la kwanza utatakiwa kufanya mapenzi na maiti baada ya hapo haitapita wiki utaona muujiza wako" aliniambia mganga. Nilimtolea macho
ya mshangao na kumuuliza . "Mh mganga yani nikafanye mapanzi na maiti kabisa
" Nilimuuliza. "Ndio maana yake hilo ndilo Shariti lako, utajiri ni mgumu sana usifikiri ni rahisi kama kutawaza tak* lako mshenzi wewe" Aliniambia mganga na kumalizia na tusi. "Heee babu mbona unanitusi tena" Nimuuliza. Akabehua kama mtu aliyeshiba sana kisha akaniambia. "Sio mimi niliyokutukana ni mizimu maana unataka vitu vya bwerere unadhani utajiri ni matak* kwamba kila mtu awe nayo mpuuzi wewe" Aliongeza mganga maneno hayo. Moyoni nikasema "mh ama kweli hiki kizaa zaa lakini ni kweli utajiri haupatikani kirahsi acha nitekeleze agizo kwani nani ataniona, nitafanya siri yangu" Nilikubali, mganga akanipa vidawa dawa na maneno kadhaa kisha tukaagana.
Jioni niliwaambia wafanyakazi wenzangu ambao wana shifti za usiku kwamba "Junior na Roberty, leo mkapumzike muangalie familia zenu nitawasaidia Shift yenu ya usiku"_Niliwaambia ili niweze kutekeleza azima yangu kirahisi. Nao walifurahi sana " Hayo ndio mambo bwana Devi kazi ni kusaidiana" Aliniambia Junior. Basi usiku nilibaki mwenyewe eneo la Mochwari, mara ikafika gari aina ya Toyota Pckup, ilikuwa imebeba maiti na kwa bahati nzuri ilikuwa ni maiti ya kike ambayo ilikuwa na utambulisho wa jina la KURUTHUMU JABIR, niliipokea maiti ile na kuwakabidhi waoshaji wa kike, wakaiosha vizuri baadae wakanikabidhi niiifadhi.
Mpaka kufikia saa saba usiku hakukuwa na mtu pale hospitalini zaidi manesi wa usiku waliokuwa wanapitapita kwa mbali, basi nikazama ndani ya chumba cha mochuary na kuitoa ile maiti ya Kuruthumu kwenye Jokofu kisha nikaiweka sakafuni na kuitoa sanda ikabaki uchi kama ilivyozaliwa. "Hii ndio nzuri kwanza bado ya motomoto
" nilijiambia mwenyewe kisha nikazima taa mule mochuary pakawa giza totoro, nikavua nguo zangu ili nianze kazi, ile natumbukiza mnara wangu ndani ya utam wa ile maiti ghafla nikasikia sauti "assssssssss" macho yalinitoka kwa mshangao
sijakaa sawa ghafla ile maiti ikataka kunikukimbatia niliruka pembeni haraka na kuwahi kwenye swichi ya umeme, ile nawasha taaa......... 
Naaaam, huu ndio mwanzo tu wa mkasa huu wa kweli ulioandikwa na mwandishi George pangalas je unasoma mkasa huu ukiwa wapi? Jibu ili nikutag sehemu ya pili.

. "Hivi kilichonitokea ni kweli ama ni wenge tu limepata baada ya kufanya kituko hichi ambacho binadamu yoyote hawezi kufanya?
basi niirudishe maiti kwenye jokofu. Nikafanya hivyo. " Mh ama kweli utajiri ni kazi kweli kweli usione mtu anapita na gari lake na wewe ukatamani kizembe yani mimi ndio wa kufanya mapenzi na maiti hadi kumwagia ndani kweli
dah hii itakuwa siri yangu na sitasema popote maana ni aibu ya mwaka hii" Nilijisemea moyoni mwangu huku niikifunga vizuri sanda ile maiti ambayo ilitoa macho
japo yule mganga ana mitusi kama vile ametafuta Mavi lakini ameinisaidia
. Ndipo yule msichana akanigeukia na kunitizama kwa macho makali sana na ambayo yalikaa kama ya paka akiwa gizani, ndipo ustahimilifu uliponishinda nikadondoka chini na kupoteza fahamu. Nilirejesha kumbukumbu juu ya kilichotokea kwasababu Laura hakuwepo wala yule msichana tuliyemsaidia hakuwepo. "Nafikiri hii mifupa ni ya Laura, yule binti sio binadamu wa kawada, atakuwa amekula nyama za Laura na kubakiza mifupa

, vitita vya shilingi elfu kumikumi tupu ndivyo vilivyoonekana. Nikashusha pumzi kwa nguvu na kusema. "Hili tukio lililonikuta huenda lina uhusiano na huu utajiri niliouendea kwa mganga ili kuupata maana mbona hii mifupa imebadilka na kuwa pesa?
hapo nje kwanza bado ni nyiu (new) yani kitu aina ya Toyota Alphad" alisema Jerad. "Ah hilo ni gari la ndugu yangu ameniachia tu nikae nalo yeye anaenda masomoni nje ya nchi" Niliamua kudanganya. Sikutaka kusema ukweli kwani wangeanza kupeleleza vyanzo vyangu vya pesa na mnavyowajua binadamu wasingeshindwa kufikiri labda ninauza viungo vya maiti wa mochwari hivyo niloamua kuficha kiaina hiyo.
" Nilipanda ndani ya gari langu na kuondoka bila kugeuka nyuma. "Mh huyu mganga kiboko leo atakuwa kavuta mbegu za bangi na wala sio bangi yenyewe maana si kwa mishombo ile dah ila ndio utajiri inabidi nikaze roho." Nilijisemea, basi bwana siku hiyohiyo nikatafuta kiwanja kikubwa, nikakilipia, nikamtafuta fundi na kumpa cotract ya ujenzi , kisha nikarudi nyumbani. Mjengo wangu ulianza kupandinshwa kwa kasi mpaka kufikia jumamosi ulikuwa umefikia kwenye lenta. Hatimaye sasa ikawa ni jumapili, nikatoa muongozo kwa wafanyakazi wenzangu niliokuwa nawasimamia, "Jerad mimi kila jumapili nitakuwa nawasaidia shughuli zote za Mochwari na nitaanza leo" Niliwaambia kama kawaida yao walifurahi wasijue nini malengo yangu. Basi Jumapili hiyo najira ya saa saba na dk 50 usiku nikainga ndani ya chumba cha Mochwari. "Mh leo silali na maiti ya kuruthumu acha nichague ingine" Niliongea mwenyewe huku nikizikagua maiti Mochwari mithili ya mtu anayechagua nyanya gengeni. "Aah hii hapa itanifaa kwa leo kwanza inatoka kesho ndugu zake wanakuja kuichukua, halafu pili huyu dada anaonekana alikuwa mdangaji
, ni mimi muandishi wenu George aloyce