Hhahahaahhaah Stela maskini akipata????. Leo nitpost ya 25 usicheze mbali ngoja nimalize majukumu kadhaa!..funguo ya gari hadi chooni...🙂
Hongera boss imetulia,nyingine lini tena?
Sijakwelewa!Kiduchu sana poti
Sijakwelewa!
POa poti!Samahani poti nilikua cjaona ya 25 asante
Unakata kivipi!?iko poa,utamu unakuja unakata...
i wish ingekuwa kitabu..🙂Unakata kivipi!?
Unajua hata moneypenny anapenda kulitaja neno soulmate sasa hadithi ipo huku lakin hajitokezi!Chakorii kipenzi karibu utubariki wapenzi wa fasihi simulizi & handishi.
Nimekuja
.🙂 A criminal mastermind "The Professor".Nimekuja.
Alafu avatar yako inaendana na kinachoendelea kune hii story. Le professory.. hahha
#money Heist. aka La casa de papel.