Nimekumbuka.
2012 pale mwanza nilienda kununua vitabu,nikanunua nyuma ya mapazia.
Then muuzaji akanambia kuna vitabu vingine vya Mtobwa.Akanionesha "Mwalimu mwenye mguu wa bandia' na hicho ulichonambia.
Sikua na hela ya kutosha so nikakiacha,sikujua kama kilibase kwenye true story,ningenunua.