Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Hahahaaa ni kweli. Mimi ni yule niliyekua nimelazwa hospitali.
Mzee alifungwa kwa kosa gani?Hahahaaa ni kweli. Mimi ni yule niliyekua nimelazwa hospitali.
hongera sana endeleza kazi ya mzee....nilikuwa mpz wa gazeti la heko na vitabu vyake kwakweli.....ninalo magazeti ya heko yenye hadithi yote ya tutarudi na roho zetu kuanzia sehemu ya kwanza hadi ya mwisho... hahahaha huwa naangalia nacheka wakati ule nilikuwa nahifadhi kila kitu kwa sasa nimekuwa mzembe sana
Umeniludisha nyuma miaka ya tisini. Ukimaliza tutupie Njama.
Hakipo hewani ninacho kilitoka enzi hizo za uhai wake ni story ndefu dear....labda ipo siku nameless girl atakiweka hapa kama vingineMzee alifungwa kwa kosa gani?
Hicho kitabu kipo hewani?
Njama ni Musiba hapa tunaongelea Ben MtobwaUmeniludisha nyuma miaka ya tisini. Ukimaliza tutupie Njama.
Nilikuwa na mama yangu mdogo enzi hizo RIP. Ndio aliniingiza kwenye usomaji wa vitabu.....ninataka kuhakikisha vitabu vya enzi zile niwe navyo nimeanza kidogo kidogoUmenikumbusha mbali mama yangu alikuwa mpenzi wa vitabu vya hadithi hasa Ray Sibanda, Willy Gamba na Joram kiango. Alikuwa kavijaza kwenye shelf yake na Magazeti ya heko ukurasa wa hadithi...hii ikanifanya na mimi kuwa mpenzi wa hadithi hizi. Kweli utunzaji wa vitabu ni kumbukumbu nzuri.
tupiaNimekujaaaa
Lazima akushike jina lako linajieleza.Umenishika