Hadithi kali: Baniani mbaya.....

Hadithi kali: Baniani mbaya.....

Ok nitakuwa nafanya hivi japo mwezi mara moja, sasa hivi nina nafasi ya kuandika, wadau nitakuwa nikiwapa kile kitu roho inapenda.
 
Tupa kapuni.kijana hujui kutunga tatizo hunahongea sana pumba .mambutika wezio ndio watakao like huu hupumbavu .kwa msahada hii sio Facebook sawa we kijana akili mgando hunayefosi kazi za watu
 
Mkuu upo vizuri....! Naomba tufanye kolabo...location ni maeneo ya huko huko usukumani..gamboshi au ntuzu!
 
  • Thanks
Reactions: ram
Utadhani unapafahamu Mentor bana!
Mzima lakini?

Mkuu upo vizuri....! Naomba tufanye kolabo...location ni maeneo ya huko huko usukumani..gamboshi au ntuzu!
 
Last edited by a moderator:
Ahsante momma, hadithi nzuri sana, umenikumbusha mbali sana, kutaja kijiji cha nyamigota, nimewahi kufika vijiji hivyo, chibingo, nyamigota, ibondo, inyala na katoro yenyewe kufanya kazi ya kuelimisha wananchi miaka ya nyuma kidogo
 
Tupa kapuni.kijana hujui kutunga tatizo hunahongea sana pumba .mambutika wezio ndio watakao like huu hupumbavu .kwa msahada hii sio Facebook sawa we kijana akili mgando hunayefosi kazi za watu
Kaka Shaaban Hassan naomba basi unifundishe kutunga, niko tayari kuchukua kozi kwako, lakini weka kazi yako hata moja niione hapa. Nakuahidi nitakuwa mwanafunzi mzuri na mtiifu kwako.
 
Hii imekaa vizuri sana

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom