Hadithi kali: Baniani mbaya.....

Hadithi kali: Baniani mbaya.....

Hadithi nzuri ila kuna kauongo kadogo hapo toka umemuacha kijijini hadi miezi 9 imepita hujui yupo kwa wazazi wako inamaanisha ulikuwa huwasiliani na wazazi wako miezi yote 9? Hebu edit hapo
 
Mbona siwezagi kusoma hizi hadithi? Ntakuwa nna mazara
 
Natamani nijue Preta akirudi Mziki wake utauchezaje?
 
mchezo wa kuigiza bishanga na waridi long time kama 99.
 
dahhhh...momma we ni noumaaaaaaaaaaaaaa..big u sana kakaaa.....vip preta akulud tena au?
 
mchezo wa kuigiza bishanga na waridi long time kama 99.
Kabla hawajauigiza niliundika kwa mara ya kwanza katika Gazeti la Heko mwaka 1992 kwa jina hilihili lakini nilishangaa kuigizwa na akina Warid na Bishanga bila ya ridhaa yangu, haki nyingi zinapotea.
Kwenye Heko kulikuwa na sehemu iliyokuwa ikiitwa Darasa la Mapenzi nilitunga kisa kingine kinaitwa Toto la Tanga, nitakileta hapa pia, kuna mtu humu ndani amesema kama alishawahi kuusoma mahali ni kweli, hapo ndipo nilipoundika mkasa huu kwa mara ya kwanza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom