hadithi hadithi..??

hadithi hadithi..??

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,893
Reaction score
63,512
Hapo kale Moyo na ndevu walikuwa marafiki. walikuwa wanaishi kwa furaha nyumba moja.
Siku moja moyo akamuibia ndevu. waligombana sana hadi moyo akakimbia. ndevu nazo zikamkimbiza moyo ili zimkamate. Moyo alipokwa anakimbia, kamkuta binadamu anacheka kaingia mdomoni,ghafla binadamu kafunga mdomo. mala ndevu nazo zikaja speed hadi kidevuni kwa binadamu paaa, zikatua.
hadi leo ndevu bado zinamsubili moyo atoke amlipe deni lake.
hadithi yangu inaishia hapo. Mia
 
Siku nyingine tupe ya figo, maini, macho na masaburi.
 
tupe na ya mfungwa aliyeng'ang'ania gerezani
 
tupe cku nyingine ya chopeko na mnofu.

hahaaaa...!!!.Mkuu umenikumbusha story ya kitabu fulani sikumbuki kinaitwaje. kilikuwa kinapicha. jamaa tmzungu) alikuwa kalala na pua yake ndefu huku kajifunika chandarua ndani ya hema,halafu alikuwa kaacha koroboi ianawaka huku kwenye meza katega mtego wa panya. yule panya alipokuja kaangusha ile taa hema zima ikawaka moto. ile anashtuka hema linaishilia. kile kitabu kinaitwaje? Mia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom