Hadithi Hadithi!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Mtoto anamuuliza baba yake;'baba,hivi ni kweli kila hadithi lazima ianze kwa maneno,"hapo zamani za kale......"? Baba mtoto akajibu;hapana mwanangu,hadithi nyingine zinaanza kwa maneno;"Endapo mtanichagua......."
 
baba wa ukweli huyo........... safi sana u made ma day
 
Back
Top Bottom