Habar zenu wadau wa jf natumai wengi wenu mko good..!!
Hebu leo tukumbushane zile hadithi za Uongo na kweli zilizo vuma enzi zetu za Utoto
Tukianza na mimi nazo kumbuka ni Mzee Tola,Pamela na Kipini
we pia tupia ili twende sawa wadau..
Embu tukumbushie kidogokaribu
Pamelaipi mkuu ya pamela na kipini or mzee tola