Yangadamu
Senior Member
- Mar 23, 2018
- 164
- 110
Twende kazi.
Kulikua na mama mmoja aliyeishi mkoan iringa mama huyo alikua na jicho moja bovu (chongo) alibahatika kupata mtoto mmoja wa kike aliyemwita Neema, mama neema alifiwa mme mtoto akiwa na miezi mitatu, mjane huyo aliishi kwa shida na mwanae kwan mama huyo hakua na kazi hivy alijishughulisha na kilimo.
Mwanae neema alibahatika kuitim kdato cha nne japo kwa shida kutokana na hali ya maisha ya kwao, matokeo ya kdato cha nne yakatoka na alifauru kuendelea na masomo na hatimae chuo alipoitim akapata kazi bank huko mjini arusha.
Hali ikawa nzuri na hatimae akampata mchumba humohumo bank akampeleka kwa mama kujitambulisha mamake binti akawapa baraka wakaanza maisha yao binti huyo aliona aibu kuwapeleka marafiki zake kwao kutokana na jicho bovu la mamake, miaka kadhaa kupita yule bint alikua tiari na watoto wawili wote wakike. Siku moja mamake alimtembelea huko arusha alipofika aliwakuta wajukuu akawauliza mamaenu yupo wap? Wakamjibu ameenda kazn mda wa jioni Neema alirud kutok kazin watoto walipomuona mama wakamkimbilia na kumwambia kuna mgen ila katutisha na jicho lake.
Neema kuingia ndani kumbe ni mamake hapohapo neema akabadilika uso akamwamkia mama kish akamwambia unakujaje huku sijakwambia? alafu watoto wangu unawatisha na jicho lako mamake alimuomba msamaha mwanae nakusema nisaidie hela ya matibabu nina kansa inanisumbua kwa mda, Neema alimwambia sina hela ila nitakupa hela ya nauli urudi nyumbani.
Kesho yake mama neema alipewa naul na kurud iringa baada ya miezi mitatu kupita neema alipigiwa sim na majiran kumwambia kuna msiba mamako amefariki.
Neema na mmewe wakafunga safar hadi iringa walipofika neema akaingia chumban ulipo mwili wa mamake ndipo akaona mezan barua iliyoandikwa na mamake.
Kwako mwanangu kipenzi nmetunza siri hii kwa mda ulipozaliwa tu doctor alisema jicho lako moja lina chongo hivy utatumia jicho moja mimi kusikia hivyo nkamwambia doctor anitoe jicho moja akupe wewe kisha Mimi nipewe labandia. Ndivyo ilivyokua had leo umekua na jicho langu nisaheme kama nilikuudh pia wambie wajukuu zangu sitakuja tena kuwatisha. Ni mimi akupendae mamako.
Kama unampenda mama andika Hakuna kama MAMA, ili popote alipo ajue unampenda. Kama hayupo andika R.I.P MAMA.
SOMA KISHA Share UJUMBE HUU KWA WENGINE PIA