HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,445
- 6,207
- Thread starter
- #241
Sindo nmekuja sasa nilikuwa kumzika kingunge![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kumbe upo alaf unatuchora tu mshkaji????
Sindo nmekuja sasa nilikuwa kumzika kingunge![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kumbe upo alaf unatuchora tu mshkaji????
Umelala msiban nin mkuuSindo nmekuja sasa nilikuwa kumzika kingunge
Malizia tu. Maana mnavo mbembeleza hivi anazidi kujiringa ringa. Niko nasoma story ya Jamal mieAu niimalizie Mimi nin?
Tena naimaliza yote sasa ivi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ndo ipi tena hiyo storyMalizia tu. Maana mnavo mbembeleza hivi anazidi kujiringa ringa. Niko nasoma story ya Jamal mie
Kumbe uwezo wa kumaliza unao?? Sasa mbona kutesana? Unapost unapojisikia mwenyewe au vile unqjua hakuna namna tutasoma? Sio fair yan una uwezo wa kutuposti hata mbili ila unapost moja unapopotea ni Mungu ajuaeUkimaliza yote naenda kunya ikulu tena mchana kweupe then nakamata tausi wa ikulu namchinja mbele ya mkulu
Nyemo Chilongani ndio Mtunzi wa hii hadithi so mpaka ashushe vigongo kule whatsapp group ndio mtoa Mada acopy na ku paste hapa!!!Kumbe uwezo wa kumaliza unao?? Sasa mbona kutesana? Unapost unapojisikia mwenyewe au vile unqjua hakuna namna tutasoma? Sio fair yan una uwezo wa kutuposti hata mbili ila unapost moja unapopotea ni Mungu ajuae
Ya kuzimu ileNdo ipi tena hiyo story
Ooh bora hata wewe umeeleza la kueleweka, nimekuelewaNyemo Chilongani ndio Mtunzi wa hii hadithi so mpaka ashushe vigongo kule whatsapp group ndio mtoa Mada acopy na ku paste hapa!!!
Hakuna miujiza anayeweza kufanya mpaka Mtunzi afanye makeke kwanza.
Ahaaa nilidhani nimepitwaYa kuzimu ile
Shoga upoNdo ipi tena hiyo story
Umenipotea mpenziShoga upo
Napost yote soon
Labda Uwe Nyemo Chilongani mwenyewe vinginevyo unajidanganya.Napost yote soon
Labda Uwe Nyemo Chilongani mwenyewe vinginevyo unajidanganya.
Post episode 3 tu mda huu kuthibitisha uwezo wako.

Npo mwayaUmenipotea mpenzi