Hadithi: Bruno the Fisherman

Hadithi: Bruno the Fisherman

Big up sana bro. Hujatuangusha. Nimejifunza kitu kimoja muhimu kwamba ili ufanikiwe ni lazima upitie changamoto kibao, but hupaswi kukata tamaa, kumtegemea Mungu ni kila kitu. Pia kutolipa kisasi kwa adui yako ni baraka tosha.!! Hakika Mungu anaweza.!!
 
Pamoja sana
 
naona nawewe moyo wakisasi umekutoka kwa jinsi ulivyokuwa umempanikia kulubule ni wazi kuwa story uliendelea kuisoma.

BTW mkuu kulubule shukrani sana na hadithi yako yenye mafunzo.
 
kilichoendea pale mimi nakijua,

kama sio kutafuta mtoto wa pili watayemuita bless ya baraka baada ya rehema za Mungu, lol.
 
Hadithi unaiba huko unaposti bila taarifa ya mtunzi...nikikushtaki kama wenzako ukanilipa fida utaanza kulialia kuomba msamaha.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom