...........hadi watakapopeana migongo!

Ili uwe successive captain wa sheep yako, uwe Solo; usitegemee assistance from anyone or thing! Sometimes hata maprogram ya computer yanatudisappoint!

lazima ushauriane na wenzio.wakati mwingine solo maana yake ni kupotea.............[MENTION]Kaunga, King'asti[/MENTION]
 
Last edited by a moderator:
Bora mwaya; utudanganye jinsi gani mwanaume akisema Nakupenda anaamanisha anachosema! LOL

sijui kama kesho kweli yaja lakini ikifika basi ahadi ni deni......
  • A%20S%20kiss.gif

.....[MENTION]@kaunga[/MENTION]
 
Lkn ukimtegemea sana mtu, ndipo unampa nafasi ya kukudisappoint!

Kusmhirikisha kamwe isiwe kumtegemea.....hakikisha mshauri ni mshauri tu na wewe ndiye mwenye sauti ya mwisho ....hapo utakuwa umepeta............[MENTION]@Kaunga[/MENTION]
 
So kama happiness yako inakuwa influenced na mpenzi; maana yake u can't be a caption but rather a co-captain of ur happiness!

furaha huwezi kujipa kila wakati mwenyewe utategemea vilevile na mwenzi kama ni mtu wa kukufurahisha.............kadri unavyojitenga kwa kukhofu kuachiwa dhoruba basi ujue unajinyima nafasi ya kupata real good time and enjoy life.........

usiogope maumivu ila panga karata zako kwa utaratibu unaoeleweka.....
 
A tough one; so unamaanisha nina chance kubwa ya kupewa mgongo nikishindwa kuchagua? Au nikijipa say a year or two?

waswahili husema mchelea mwana kulia hulia yeye.......................
 
waswahili husema mchelea mwana kulia hulia yeye.......................

Hao hao husema..... Mvumilivu hula mbivu, na pia..... kula nanasi kwahitaji nafasi.., na kama hiyo haitoshi wa siku hizi husema.......mambo mazuri hayataki haraka....

Damn waswahili! Very confusing!
 
Hao hao husema..... Mvumilivu hula mbivu, na pia..... kula nanasi kwahitaji nafasi.., na kama hiyo haitoshi wa siku hizi husema.......mambo mazuri hayataki haraka....

Damn waswahili! Very confusing!

siri ni kumjua mtu wako ni mtu wa namna gani na khalafu kujipanga kutokana na khali khalisi.......
 
The world of the DAY................[MENTION]@Kaunga[/MENTION]

Swali lingine (sijui labda lahitaji thread yake)!
Mwanaume ambaye ameumizwa sana kwenye past relationship; akago thru councelling n what, je possibility ya kufanya revenge (kumuumiza mdada aliyenaye sasa hivi) ikoje?
 
yeye hawezi kuwa na nia ya kumliza mtu ambaye hajamdhuru.........kama ni kisasi itabidi amfanyie yule aliyemjeruhi...kama wakikosana na huyu aliyenaye ni kutokana na wao kushindwa kuelewena.......hii sawa na huu uzi tofauti ni jinsia tu. Kama uko kwenye mazingira ya namna hii usikhofu hakuna baya isipokuwa body chemistry yenu na personality jellying ..........au kinyume chake personality clashes... Kaunga
 
Last edited by a moderator:
Kama uko kwenye mazingira ya namna hii usikhofu hakuna baya isipokuwa body chemistry yenu na personality jellying ..........au kinyume chake personality clashes... Kaunga

Thanks Ruta again for ukweli mchungu! I take personality clash as a word of the DAY
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ruta...wee jembe mkuu...nilifikiri umebobea zaidi kwenye sports kumbe hata sanaa ya mashairi haijakupita kando...
 
Swali lingine (sijui labda lahitaji thread yake)!
Mwanaume ambaye ameumizwa sana kwenye past relationship; akago thru councelling n what, je possibility ya kufanya revenge (kumuumiza mdada aliyenaye sasa hivi) ikoje?

Samahani nitazungumzia ulipizaji kisasi kwa jumla, kwa wote, mwanamke na mwanamme.

Kwa nini kulipiza kisasi, wakati mapenzi ni kama maisha yenyewe,
ni mchezo wa kushinda na kushindwa, wa kukimbia na kuanguka.
Unaposhindwa unajiweka sawa, unatafuta makosa yako,
unapoanguka unasimama, unajipangusa vumbi na matope......
unasonga mbele; kwa nini basi unapotendwa, usimshukuru
mtendaji wako kwa kukupa fursa ya kuanza upya bila ya yeye?

Badala yake mtu anakimbilia kulipiza kisasi! Nahisi hii zaidi ni
tabia ya mtu. Anayelipiza kisasi kwa sababu ametendwa katika
mapenzi, huyo atalipiza hata kwa bata wa jirani aliyeshit uwanjani
pake. Kulipiza kisasi ni wivu, ni chuki, ni husuda. Na watu wa namna
hii daima hawaishi kwa amani, kwani maishani mwao mote
wanapoteza wakati kwa kuandaa visasi vipya hata kabla ya kutendwa.
 
Hivi Ruta ulishawahi kuumizwa kimapenzi? Kama jibu ni ndiyo, unadhani yale maumivu unayoyasikiaga hapa chini kidogo ya kifua, hata ukimeza kitu hakipiti ni ni kinakuwa kinauma hasa? Maana ukisema ni moyo, sikubali maana moyo upo kushoto kidogo, ukisema ini, sidhani naana nalo lipo kulia kidogo. Sasa huwa ni nini kinaupa pale? (This is pure biologic)
 
Samahani nitazungumzia ulipizaji kisasi kwa jumla, kwa wote, mwanamke na mwanamme.

Kwa nini kulipiza kisasi, wakati mapenzi ni kama maisha yenyewe,
ni mchezo wa kushinda na kushindwa, wa kukimbia na kuanguka.
Unaposhindwa unajiweka sawa, unatafuta makosa yako,
unapoanguka unasimama, unajipangusa vumbi na matope......
unasonga mbele; kwa nini basi unapotendwa, usimshukuru
mtendaji wako kwa kukupa fursa ya kuanza upya bila ya yeye?

Badala yake mtu anakimbilia kulipiza kisasi! Nahisi hii zaidi ni
tabia ya mtu. Anayelipiza kisasi kwa sababu ametendwa katika
mapenzi, huyo atalipiza hata kwa bata wa jirani aliyeshit uwanjani
pake. Kulipiza kisasi ni wivu, ni chuki, ni husuda. Na watu wa namna
hii daima hawaishi kwa amani, kwani maishani mwao mote
wanapoteza wakati kwa kuandaa visasi vipya hata kabla ya kutendwa.

That is the ideal side of it. But on the real side....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom