Hadi Usafi wa Mazingira tunategemea WAZUNGU!!!!

Hadi Usafi wa Mazingira tunategemea WAZUNGU!!!!

Watu8

Platinum Member
Joined
Feb 19, 2010
Posts
77,352
Reaction score
111,627
Timu ya Kijani ya Ubalozi wa Marekani nchini, iliungana na NGO Voice Giving lengo likiwa ni kusafisha kituo cha mabasi ya daladala cha Mwenge.
Sasa ndugu zangu waungwana, hivi tumefikia hali hii hadi tusafishiwe maeneo yetu na wageni kutoka ughaibuni???
Wapi Halmashauri ya Jiji au Manispaa ya Kinondoni???


DSC01141a.JPG


DSC01146a.JPG
 
Tumelemaa, Tumeoza, Tumevunda !! yaani sasa tunanuka.....
Wakimaliza watutilie lami mpya.!!
Jamani-eee tuamke
 
Rais wenu anawakumbusha kulala kwenye net tu,mambo mengine hola
Msikilize Tbc taifa kila siku saa 3 usiku
 
Lazima ppawepo na Starting point.. Yaani kwa kila mmoja wetu aanze kwake japo kwa kiwango kidogo hadi ukuaji
utafika wastan na kujituma walau kusafisha mazingira ya karibu, mfano mzuri tuige.Kwa taratibu tutafika tu.
 
Back
Top Bottom