Hadi sasa wote wanaopinga chanjo akiwemo Askofu Gwajima wanazungumza kwa nadharia tu

Ulisoma comments za watz waliokuwa wanam support gwajima? Haya hilo ni kundi dogo, watanzania wangapi wamejitokeza kuchanja na wangapi hawajachanja? Bado unaamini ana kundi dogo? You must be really insane if you believe so.
 
Hii chanjo ina maswali mengi kuliko majibu, iweje ukishachanjwa bado corona ikupate tena? Haina maana kabisa ilitakiwa ukisha chanjwa no more corona ila hapa uchanjwe usichanjwe unaipata.
 
Gwajima anaongea upuuzi mwingi tu anacheza na akili za watu.

Majuzi nilikuwa nimelazwa pale Muhimbili ward ya Mwaisela no 6 ghorofa ya tatu ni maalum kwa masuala ya nerves na upumuaji hivyo covid19 ni sehemu ya ward hiyo.

Gwajima anakwaza watu tofauti na neno linavyolaani ukwazaji. Neno linasema mkwazaji na afungwe jiwe kubwa halafu atupwe baharini.

Covid19 ipo na inaua taratibu na kimyakimya,aende pale wodini akajionee watu wanavyoteseka.
 
Ulisoma comments za watz waliokuwa wanam support gwajima? Haya hilo ni kundi dogo, watanzania wangapi wamejitokeza kuchanja na wangapi hawajachanja? Bado unaamini ana kundi dogo? You must be really insane if you believe so.
Insanity belongs to those who are willingly not vaccinated, risks are higher of dying of covid19 if someone chooses not to be inoculated.

Wingi wa watu wanaomfuata Gwajima ni ishara tu ya ujinga mwingi wa watanzania wa leo hii.

Nenda Mwaisela uone namna covid19 ilivyo hatari na inavyoweza kusambaa kwa urahisi.
 
Mkuu,

These people who are daily provoking those who have chosen to pursue the alternate path are desperate and wavering that is why they are becoming very aggressive to their counterparts applying all powers available to coercively intimidate others.

They will definitely lose control and plunge into the crocodile sailing river determining their ultimate fate.

COVID-19 vaccines are voluntary shot taking in Tanzania it should not be reversed to coercive compliance which may eventually roll out to strife which is not the right option.
 
Gwajima anaongea upuuzi mwingi tu anacheza na akili za watu.

Majuzi nilikuwa nimelazwa pale Muhimbili ward ya Mwaisela no 6 ghorofa ya tatu ni maalum kwa masuala ya nerves na upumuaji hivyo covid19 ni sehemu ya ward hiyo.

Gwajima anakwaza watu tofauti na neno linavyolaani ukwazaji. Neno linasema mkwazaji na afungwe jiwe kubwa halafu atupwe baharini.

Covid19 ipo na inaua taratibu na kimyakimya,aende pale wodini akajionee watu wanavyoteseka.
Usitukane watu wenye mtazamo tofauti na wa kwako; kama uliugua ukalazwa kwa hiyo UVIKO mbona kaswende hutangazi
 
Their intimidation will not work, people have choices to make including what's injected into their bodies. These nonsense of scaring people everyday with stories of unvaccinated people won't change anything,i have seen vaccinated people also die, reality is nobody is going to survive death, actaully death is a gift everyone should embrace, u should never use death to scare ,in the end,it doesn't matter when,we are going and anew generation has to come.
 
The greatest advice Wizara ya Afya ingewapa waTZ toka mwanzoni ni kufanya mazoezi + kupunguza uzito.

78% of hospitalized covid patients in the US were obese....hapa ndipo tungeanza pamoja na kulinda wazee wetu.
Hata ukichomwa chanjo na una kilo 100+ na upo na urefu 5'2" ,covid itakutafuta tu
 
Masikini umetumwa na waziri mzigo asiyeelewa nini maana ya kusimama na taaluma tangu mwanzo hadi mwisho?

Miezi miwili sasa dozi ya chanjo milioni moja haijaisha bado mpaka mtaenda kuchanja wanyama isije ikawadodea maana inaisha kazi yake Septemba 2021.

Watu wako tayari kukatwa vichwa kwa kukataa chanjo wewe unaendelea kupiga kelele zisizo na tija mpaka sasa?

Kama kuna watu wako tayari kufa kwa kukataa chanjo je, mamlaka inayoona wananchi wake wanaenda kuchinjwa kwa kukataa chanjo yenye maswali lukuki na changamoto zisizo na majibu huyo kweli ni mfariji wa taifa?
Ona hili zuzu nalo
 
#JOSEPHAT #GWAJIMA ASICHEKEWE, ACHUKULIWE HATUA KALI Fuatana nami Niliyechanjwa Joseph #Yona

NI upuuzi, Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia kauli wanazotoa wanasiasa wanaopinga chanjo, hasa wakiongozwa na Mbunge wa Kawe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Josephat Gwajima, kwamba mtu ukichanjwa unakuwa #zombi au utakufa baada ya miaka miwili.

Kauli za wanasiasa hao nyingi ziko katika misingi ya kutisha watu sio kuleta uelewa mpana wa masuala ya chanjo kwa wananchi, mbaya zaidi iko katika mpango makhsusi wa kumkatisha tamaa Rais #Samia Suluhu Hassan, juu ya jitihada zake za kupambana na maambukizi ya ugonjwa wa #Uviko-19.

Binafsi mimi ni mnufaika wa chanjo, nimechanja kwa HIARI yangu bila kushinikizwa na mtu yeyote, napata ukakasi pale ninapomuona kiongozi wa siasa na dini mwenye wafuasi wengi katika imani yake anatumia jukwaa hilo kuzungumzia chanjo na mbaya zaidi anawaambia WATU wasichanje, namfananisha na #Kibwetele.

#Gwajima na kundi lake wanapaswa kutambua wanachokifanya sio sahihi na kipo katika misingi mikuu miwili ya UHAINI, kwa kuwa wanamkwamisha Rais #Samia kutekeleza majukumu yake na pili wana ajenda ya siri juu ya taifa hili la kuleta mpasuko usiokuwa na sababu.

Kauli na matendo yao hayaakisi uhuru wa maoni, bali yako katika dhihaka na hata kugombanisha utawala na wananchi kwa kuwa kuanza kuhamasisha watu wasichanje sio jambo zuri na halina ahueni kwa nchi katika kuleta umoja.

Sapoti ndogo anayoipata kutoka kwa waumini wake wanaosali katika dhehebu lake, isiwe kigezo cha yeye kuamini kila mtu anamuamini na kumwona nabii kwenye mustakabali wa maisha yake kwa kuwa kuna watu wenye uelewa na sio mazwazwa kama anavyodhani.

Asitumie kigezo cha watu kuwafurahisha kama nyakati zake zile za #NaliamshaDude, ndio aamini kila mtu anamfuatilia na kupenda matamshi yake, kwa kuwa anachofanya hakina afya kwa umoja na mshikamano wa taifa.

Juhudi za dunia kudhibiti ugonjwa wa Uviko-19, zimeendelea kuenea duniani kote, baada ya mataifa kuanza kutoa chanjo zitakazowaweka wananchi wake salama dhidi ya maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa huo.

Tanzania ni miongoni mwa mataifa ambayo yamepokea chanjo kupitia mpango wa #Covax na wananchi wote nchini wanapokea kwa hiari, na hadi sasa hakuna ripoti za mtu aliyepata madhara baada ya kuchanja.

Hiyo inaonyesha kwamba chanjo ni salama na hazina madhara, jitihada zinahitajika zaidi kuelimisha jamii kuhusu umuhimu wa chanjo hiyo, ili watu waelewe zaidi kwanini ni muhimu kwao kuchanja na sio uwepo wa wanasiasa wasiokuwa na uelewa mpana wa masuala ya chanjo.

Kwa bahati nzuri, serikali imeweka bayana chanjo ni hiari ya mtu, anayetaka achanje na asiyetaka asichanje, kujitokeza kwa wanasiasa wasakatonge wanaoamini umaarufu na sio kusaidia wananchi ni jambo baya na lenye kuleta matatizo kwa jamii.

Kuanza kuwaelekeza watu namna ya kuishi ni jambo baya na anachofanya Gwajima ni uthibitisho tosha kuna kitu anachotafuta kwa kuwa serikali ilishatoa mwongozo thabiti sasa yeye anachokizungumza kila jumapili katika madhabau anataka afanyweje.

Jamii inapaswa kupewa elimu juu ya umuhimu wa chanjo ili kuongeza msukumo wa watu kwenda kuchanja kwa wanaotaka, watu waliochanja ndiyo waendelee kutoa elimu zaidi ya kuelimisha watu wengine juu ya umuhimu wa wao kuchanja chanjo hiyo.

Wakitimiza wajibu huo, watakuwa wamesaidia juhudi za serikali za kuelimisha jamii kuhusu kampeni ya kuchanja inayoendelea nchi nzima na mwishowe lengo la kulinda afya za Watanzania litakuwa limetimia na hata wapiga mbiu kama Gwajima watakuwa hawana hoja tena.

Kuendelea kuhamasisha watu wasichanje kwa madai chanjo zina madhara na kuendesha kampeni ya chanjo, ni kuwatia hofu wananchi na athari zake ni kushuka kwa uchumi na nchi itashindwa kusonga mbele na zaidi tutarudi nyuma.

Hadi sasa wote wanaopinga chanjo akiwemo Gwajima wanazungumza kwa nadharia tu bila kuwa na ushahidi wa kisayansi, kuhusu madhara ya chanjo ambayo yanaweza kuhatarisha maisha ya mtu anayepokea chanjo kwa kuwa watu wengi wamepokea chanjo na hakuna madhara aliyepata nikiwemo mie.

Taarifa nyingi za kisayansi katika majarida zimeeleza ubora wa chanjo ya #Johnson & #Johnson ambayo inatolewa nchini, kuwa ni salama sasa ni wakati wa kutowachanganya Watanzania na mwenye mahitaji ya chanjo aende akapate na sio vinginevyo.

Wanasiasa wasichukulie jambo hili kisiasa, kwa sababu linahitaji utaalamu wa kisayansi; wawaache wataalamu wafanye kazi yao kuendelea kutoa matamshi yasiyokuwa na ushahidi ni kuleta mpasuko katika jamii huku Gwajima anapaswa kufahamu kuropoka kwa kiongozi sio sifa njema au tuanze kuamini methali ya mgema akisifiwa tembo hulitia maji.View attachment 1916878
Wewe ni moja ya wenye uelewa mdogo. Hakuna anayepinga chanjo. Kinachopingwa na uhalisia na uhalali wa kuthibitika kwa chanjo.
 
Vp kuhusu wanaosaport

Vp wanaosapot wamekuja na evidence ipi ili kuuashawishi umma ili ote upate chanjo
 
Tuwekee hapa evidence ulizokusanya ndani ya mwaka mmoja kuhusu usalama wa chanjo, ili tuone kwamba wewe uko practical..............pia tuwekee forecast ya miaka 10 ya madhara ya hiyo chanjo ukizingatia chanjo ina chini ya miaka miwili tangu itolewe...
 
Usitukane watu wenye mtazamo tofauti na wa kwako; kama uliugua ukalazwa kwa hiyo UVIKO mbona kaswende hutangazi
Kaswende niliugua ila nilimtangazia mke wangu tu yakaisha. Kaswende aisambazwi kwa njia ya hewa kama uviko 19 unavyosambazwa hewani tu.

Mkuu kitanda cha pembeni yangu alikuwepo mzee mmoja anapumulia juu juu tu kwa shida. Alinipatia simu yake nimsaidie kumfanyia swaping baad ya kuita kwa muda, baada tu ya kumaliz zoezi hilo nikanawa mikono upesi sana.

Acha kabisa yaani.
 
Gwajima anaongea upuuzi mwingi tu anacheza na akili za watu.

Majuzi nilikuwa nimelazwa pale Muhimbili ward ya Mwaisela no 6 ghorofa ya tatu ni maalum kwa masuala ya nerves na upumuaji hivyo covid19 ni sehemu ya ward hiyo.

Gwajima anakwaza watu tofauti na neno linavyolaani ukwazaji. Neno linasema mkwazaji na afungwe jiwe kubwa halafu atupwe baharini.

Covid19 ipo na inaua taratibu na kimyakimya,aende pale wodini akajionee watu wanavyoteseka.
Ushawahi kwenda hapo wodini kabla ya kovidi kutangazwa?
 
Insanity belongs to those who are willingly not vaccinated, risks are higher of dying of covid19 if someone chooses not to be inoculated.

Wingi wa watu wanaomfuata Gwajima ni ishara tu ya ujinga mwingi wa watanzania wa leo hii.

Nenda Mwaisela uone namna covid19 ilivyo hatari na inavyoweza kusambaa kwa urahisi.
we ushaingia baridi pambana
 
Back
Top Bottom