Hadi sasa CDF anaongoza 1-0

Hakuna CDF hapo.

Kwanza karusha CHOPPER za Jeshi nyingine zimechokaaaaa, mpka vijijini kutisha watu.

Yaani tuombe tu Mungu, tusivamiwe kutika nje.

Hakuna kitu hapo.
Kuna chopper zingine kweli ni mikweche kabisa aisee. Nadhani ni za miaka ya 80/90 huko wakati shirikisho la Urusi ya zamani likisambaratika. Chopper inaunguruma mpaka unajua kabisa kuwa injini ilishachoka hii lakini wapasua matofali ndo kwanza wanakenua meno huku wakining'inia milangoni na mabunduki yao makubwa utafikiri wapo DRC wakipelekewa moto na vijana wa Kagame!
 
Kwa hiyo modus operandi ya utawala wa sasa ni mabavu na mtutu wa bunduki hadi 2030? Au hii ni ya muda tu then malkia atakubalika baadaye? Just curious
Kukubalika na nani?..we inama watu wakutawale
 
Umejisumbua sana kubishana na hawa wapumbavu.
 
IGP anaweka chuma cha 3 paleee, dkk ya 31 ya mchezo kipindi cha kwanzaaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jamani kama mlivyojionea hadi sasa hakuna mtu kufurukuta wala kujitikisa na nje hali ni shwari 100%. Au ndo tusubiri dakika za jioooooooooni GEN-Z Wafanye COMEBACK ya kibabe.
Ni mbwa wa samiaSamia tu awazaye ushindi wa kizwazwa..
Hebu jitambulishe kama wewe ni mbwa au ng'ombe wa Samia.

Who are you?
 
Hii ni nchi au jehanam, mtu unafungiwa ndani kama mfugo hakuna kutoka! Hata wakoloni hawajawah kuwafanyia mababu zetu hiviπŸ™ŒπŸ€£
 
Hii ni nchi au jehanam, mtu unafungiwa ndani kama mfugo hakuna kutoka! Hata wakoloni hawajawah kuwafanyia mababu zetu hiviπŸ™ŒπŸ€£
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Jamani kama mlivyojionea hadi sasa hakuna mtu kufurukuta wala kujitikisa na nje hali ni shwari 100%. Au ndo tusubiri dakika za jioooooooooni GEN-Z Wafanye COMEBACK ya kibabe.
Kaka naona unashangilia kwa sababu unakunywa maziwa sio..! Una ka mrija ndio maana unaongea hivyo na kufurahia wakati bodaboda tunapigwa na jua kila kukichaa. Acha dharau kaka..!!
 
Jamani kama mlivyojionea hadi sasa hakuna mtu kufurukuta wala kujitikisa na nje hali ni shwari 100%. Au ndo tusubiri dakika za jioooooooooni GEN-Z Wafanye COMEBACK ya kibabe.
Kwa hiyo na kesho mtatufungia ndani? Manake genz wamesema hayana mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…