Leo ni Tarehe 11/6/2010, bado miezi minne na siku Ishirini tufanye uchaguzi mkuu wa nchi yetu. Lakini hadi leo hatuna majina (zaidi ya Lipumba) ya wagombea wa vyama vingine vya siasa kwa nafasi ya Urais. Au vyama vingine havina wagombea Urais??
Hivi kwanini tunataka wagombea wengine kama Lipumba tayari ameshajitokeza? Cha msingi hapa vyama vyote vya upinzani vimuunge mkono tu Lipumba, kama kweli nia ni kuitoa CCM madarakani.
Hivi kwanini tunataka wagombea wengine kama Lipumba tayari ameshajitokeza? Cha msingi hapa vyama vyote vya upinzani vimuunge mkono tu Lipumba, kama kweli nia ni kuitoa CCM madarakani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.