Hadi Fredwah kasepa RFA

Hadi Fredwah kasepa RFA

Rockcity native

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
2,174
Reaction score
1,460
Katika watu nilioamini watadumu milele radio free ni Fredwah. Nimeshtuka kumsikia leo akitangaza Times fm.
 
hakuna kazi ya kudumu milele
hata wewe kama umeajiriwa usiridhike hapo ulipo
tafuta sehemu yenye maslahi zaidi kuongeza wigo wako wa kufanya kazi
ni sawa na wachezaji wanaohama club.
 
Hii ni habari mpya kwangu,bila shaka mimi kama msikilizaji nitahama nae!
 
eeba nae,sasa inakuwaje tena manake yule ndiye kinara wa RFA
sasa kuna yule mkongo zuberi ndiye wanamtumia kwa kila kitu
hawezi kukataa kwa sababu akifukuzwa inabidi arudi kwao kongo
 
Kama ndivyo kile kip cha rfa asubuh cha vodacom burudani hakina maana tena.
 
jamaa si ndie aliyekuwa meneja wa radio yao... duh kweli maslahi ndio muhimu.
 
eeba nae,sasa inakuwaje tena manake yule ndiye kinara wa RFA
sasa kuna yule mkongo zuberi ndiye wanamtumia kwa kila kitu
hawezi kukataa kwa sababu akifukuzwa inabidi arudi kwao kongo

RFA nayo kama Arsenal.
Inanoa majembe kisha wakulima wanakuja wanabeba.

Maremu Deo Kiduduye,Godwin Gondwe,Gabriel Zakaria,Kid Buoy,Sky Walker,Gabriel Yotam,... List ni ndefu sana ati..

Sasa atakuwa amebaki Uncle Sam na Mtoto wa Mama Sabuni tu!

Kuhusu Tontoo Zuber Msabaha,huyu sio mkongomani (kwa ufahamu wangu) ila ni mzaliwa wa Kigoma, likely Mmanyema. Halafu kuna Jamaa mwingine anatangaza kipindi cha Viva Africa kwenye Ebony Fm huko Iringa anaitwa Almasi Msabaha;na yeye anadeal na mambo hayo ya mabolingo,anafanana na Tontoo hadi sauti,sasa sijui kama ni ndugu,au mmoja ni role model wa mwingine!

Anyway,we all look for green pastures,huh!
 
RFA NA STAR TV,ziliimarika sana,kitendo cha mmiliki wa sahara media A. Dialo kuingiza u CCM kwenye kazi kimeharibu kabisa ladha ya vyombo hivi. Namshauri na Yahaya Mohamed ahame.
 
Katika w2 nilioamin watadum milele radio free ni fredwah. Nimeshtuka kumsikia leo akitangaza timez fm

huna haja ya kushangaa mkuu kabla ya kuwa RFA unadhani alitokea wapi? Kifupi karejea nyumbani, alitokea times fm kabla ya kwenda RFA>
 
Ccm ni ukoma ndo mana startv na rfa kwa sasa ni zaid ya ktuko kama comedy diaro alpotemwa 2010 akawa anachana kila kitu ameukwaa uenyekiti hamna kitu
 
Katika w2 nilioamin watadum milele radio free ni fredwah. Nimeshtuka kumsikia leo akitangaza timez fm


Media ya Sahara inayomoliki RFA imejaa majungu kupindukia pale hamna jipya mwache achape lapa tu nothing more. Kazi yao kufukuza watu tu kila kukicha.
 
Back
Top Bottom