CPU hp compaq dc 5800
processor : core2duo 2.8ghz (nita upgrade kwenda quad core)
RAM : 5GB
HDD : 750GB
GPU : ATI radeon HD 5450 1GB
thx
mkuu nimedownload 10.5.7 kutokana na PC yangu kuwa na specs ndogo. Sasa unanishauri niweke partition ya Hacintosh kiasi gani ili itoshe? maana nina 160 tu. Na D: yangu ni 100GB na c ambayo ina Win 8.1 ni 48GB.
Hatimaye nimefanikiwa kui install OSX snow leopard 10.5.7 na 10.6.3 kwenye pc ya kawaida. niliamua kuchagua hizo version ingawa si latest sana kwasababu pc niliyojaribia ilikuwa na specification ndogo ni hp dc7600 SFF pentium 4 processor speed 3.0ghz Ram 4GB DDR2 HDD 250GB. Ilipiga mzigo fresh ingawa baadhi ya drivers zina kasumbwi hyo ni kwenye 10.5.7.
ktk version 10.6.3 drivers nyingi zilifanya kazi kuanzia audio,bluetooth,wifi,vga,ethernet n.k
Niliipenda user interface yake ni rahisi sana kutumia ipo verry simple na fast (just imagine kwenye p4) na pia apps zote basic kama chrome, firefox, vlc na nyengine nyingi zinapatikana.
Changamoto:
Unaweza fanya hata 10 attempt ku install ndo ikakubali kama huku chagua patches sahihi wakati wa installation.
hackintosh releases nilizotumia kujaribu:
Ideneb v1.5
IAtkos S3
Zote hizi zinapatikana kwenye torrents na kwa anayetaka kujaribu google itakusaidia kwa procedures zote.
Jaribio linalofuata ni kuinstall latest releases kwenye core i3 pc (desktop).
Mwenye swali, au kuongezea unachokijua ruksa.
Akhsanteni.
UPDATES:
Now i'm running Maverick OSX 10.9.0
pc specifications:
Model : HP dc 5800 sff
Processor : core2duo, 2.8ghz
Ram : 5GB
HDD : 500GB + 250GB
GPU : ATI RADEON HD 5450, 1GB
Wifi : Dlink Dwa 125 USB adapter
Webcam : Microsoft HD 3000 webcam
Pia nimefanya dual booting na windows 8.1.
*****@@@@****@@@@******
Leopard 10.5.x
Snow leopard 10.6.x
Lion 10.7.x
Mountain lion 10.8.x
Maverick 10.9.x
Zote hizi zilikubali kupiga kazi....
I've done this a couple of times and from my experience Thinkpad line of laptops(To be specific the X220) was the easiest one to install I've ever come accross. Almost everything worked out of the box, very very few things needed patches.
Mkuu I dont enjoy hii kitu kwa pc at all sababu siwezi kutumia gestures kama ilivyo kwenye mac.
Apparently I use a retina Macbook pro, and Thinkpad(s) have always been my favorite secondary Linux laptops... you are probably living in the past, you should checkout newer Thinkpads especially X1 carbon, or samsung series 9 etc... most laptops have evolved to include large trackpads and support gestures in almost all OS, not the same way mac does but usable enough... in Ubuntu for example u can set custom gestures using various tools e.g touch egg
But hey, gestures are useful (gimmicks to some), and to many power users the touchpad itself is a luxury than a necessity.
Unajua raha ya MAC ni gestures, kama unajua wapi naweza pata track pad inayoweza kufanya gestures na ina supportwindows basi mie naacha kutumia mac. Are you happy with the interface only au kuna raha gani kutumia os x kwenye pc?
Kuhusu trackpad (touchpad) mbona zipo laptop nyingi tu zina support gestures hata hizi lower end laptop wameweka hizo kitu. Ila mimi mouse tu inatosha hizo touchpad zenyewe naonaga zinanichosha tu.
Ungeandika na model ya laptop yako ingekuwa rahisi au google model ya laptop yako malizia na hackintosh mfano ""dell inspiron 15145 hackintosh""
kaka h120 im very interested kujua hii kitu kiundani zaidi... ninapokuja kukwama kabla sijadownload anything ni kichwani kwangu najiuliza ni materials gani zinatakiwa kuaccomplish hili zoezi kiujumla kwa pc amyao drive yake iko wiped na iko tayari kwa kuwekewa osx.
-je nahitaji macbook pc? (macbook pro and whateve apple notebook)
-nahitaji distro gani ambayo ni universal au haitakataa pc yeyote (in my mind nilikuwa nafikiria niresh)
-je, nitahitaji drivers zozote au hizo patches na nitazipata wapi all in one?
-na kama nitahitaji macbook itatumika kufanya nini
kiujumla mkuu h120 post yako ni nzuri mno na very helpfull ila hukutueleza kuanzia mwanzo.. yaani pale mtu anapokowa na lapotp au desktop ambayo anataka iwe special na osx, anahitaji materials gani ili aacomplish zoezi zima bila kukwama kokota na incase akikwama awe na sollution in hand pasipo kurudi kwenye forum kuuliza , naomba hii list ya hizi necesities kaka. very nice post na nina dell E6400 2gb ram, 120 hdd nataka niidedicate kwa mac osx version yeyote ile as long as its linked to the apple servers i can upgrade or just upgrede manualy.. ashante mkuu, na nitashukuru zaidi kwa msaada wako.. @h120 l
NB: nimesoma post yote ndio nikauliza so usiniambie nirudi nyuma kwa maana nina uhakika hukuweka nilichouliza mkuu. shukran tena

shukran sana mkuu, yani maelezo yako self explanatory nimeelewa sasa najua kila element ninayohitaji kuwa nayo before any instalation, shukran sana, na pia hackintosh inaruhusu kwenda kwenye appstore ya mac bila vikwazo vyovyote au store itakuwa hainitambui kaka??Pamoja kaka. Nime update thread na guides from macbreaker.com zinatoa mwangaza kidogo pa kuanzia. Nitaendelea kuweka helpful guides kutoka site husika za hackintosh. Pia usimsahau uncle GOOGLE ni msaada mzuri sana.
Thnx.