Njunwa Wamavoko
JF-Expert Member
- Aug 11, 2012
- 5,757
- 2,388
Mkuu kwenye haya ma hackintosh ni mwendo wa kujaribu ndo maana kuna pc au laptop nyingine zinafanikiwa ku run na nyingine kamwe hazifanikiwi ku run mac osx kwa hyo siwezi ku confirm moja kwa moja mi mwenyewe bado najaribu mashine tofauti tofauti na release tofauti ili kupata mzigo wa maana.
shaipakua iATKOS ml2 lkn 4.9GB how do i go about
maana hakuna CD yenye hiyo capacity
Hapa ndo mziki unapokuja unatakiwa uwe na access na mashine inayo run mac osx at least 10.6.x na kuendelea ili ufanye preparation za usb au HDD bootable kwa ajili ya hyo iatkos ml2. Mi nilitumia mashine ya awali ile pentium 4 niliyo install 10.6 iatkos kufanya hzo preparation hyo ni kwa case ya iAtkos mle (mountain lion). kwa iatkos S3 ambayo nili install kwenye hp pentium 4 niliburn image kwenye DVD ilikuwa na size around 3.5 - 4.5 hivi.
Hivo nimepoteza mda wangu kudownload file kubwa ambalo halitonisaidia.... sasa mbona ukunambia requirements I see
mtu mwenye mac computer sijawai hata kumuona
what should i do then
Aaaaaaa Taratibu kijana tutafika tu.
Kinachohitajika ni sehemu inayo run mac osx 10.6 sio lazima uwe na mashine ya apple unaweza uka install osx kwa kutumia vmware( virtual machine) ndani ya windows yako na uka prepare hizo usb bootable.
Kwa case yangu mm sikutumia mashine yoyote ya apple embu soma hapa chini nilivyofanya
kwanza nili download IATKOS S3 hii ni version inayokubali kwenye mashine (PC) za zamani esp pentium 4 zinazo support SS3.
Na size yake ilikuwa ina fit kwenye dvd ya kawaida. kwa hyo nili burn kwenye dvd ndo nikaitumia kufanya installation kwenye hp dc 7600 hii ni pentium 4 pc. na ilikubali fresh tu
Sasa kwa kutumia hyo pentium 4 ndo nimetumia ku prepare bootable ya IATKOS L2 ambayo ina size kubwa isiyo fit kwa dvd ya 4.7gb. na ndo niliyo install kwenye computer nyingine hp dc5800 core2duo.
Nadhani umenipata.
Embu fanya kuanza na hyo iatkos s3 kwanza kukiwa na maendeleo ndo tuende kwa version zinazofuata.
sasa hiyo kuiweka kwenye CD ulitumia Program gani...au any burning Studio itakubali tuMi mwenyewe nilianza na ideneb ambayo ni 10.5.7 nikahamia iatkos s3 ambayo ni (snow leopard 10.6.3) nikatoka hapo nikaja iAtkos L2 ambayo ni (lion 10.7.2). hii ndo naitumia sasa kwenye mashine yangu.
nipo nashughulikia mountain lion ambayo ipo kwenye series 10.8.xxx pamoja na maverick ambayo ni 10.9.xxx.
Umeona sasa nimeanzia chini napanda kidogo kidogo.
sasa hiyo kuiweka kwenye CD ulitumia Program gani...au any burning Studio itakubali tu
Isije kuwa na burn hadi DVD tano bila mafanikio na moja inakubali lkn bado kitu ikagoma
Kaka mkubwa umetoa somo zuri na hii kitu nilitamani sana kiwe kwa pc ya mi nina laptop dell latitude e6400 na hizoHatimaye nimefanikiwa kui install OSX snow leopard 10.5.7 na 10.6.3 kwenye pc ya kawaida. niliamua kuchagua hizo version ingawa si latest sana kwasababu pc niliyojaribia ilikuwa na specification ndogo ni hp dc7600 SFF pentium 4 processor speed 3.0ghz Ram 4GB DDR2 HDD 250GB. Ilipiga mzigo fresh ingawa baadhi ya drivers zina kasumbwi hyo ni kwenye 10.5.7.
ktk version 10.6.3 drivers nyingi zilifanya kazi kuanzia audio,bluetooth,wifi,vga,ethernet n.k
Niliipenda user interface yake ni rahisi sana kutumia ipo verry simple na fast (just imagine kwenye p4) na pia apps zote basic kama chrome, firefox, vlc na nyengine nyingi zinapatikana.
Changamoto:
Unaweza fanya hata 10 attempt ku install ndo ikakubali kama huku chagua patches sahihi wakati wa installation.
hackintosh releases nilizotumia kujaribu:
Ideneb v1.5
IAtkos S3
Zote hizi zinapatikana kwenye torrents na kwa anayetaka kujaribu google itakusaidia kwa procedures zote.
Jaribio linalofuata ni kuinstall latest releases kwenye core i3 pc (desktop).
Mwenye swali, au kuongezea unachokijua ruksa.
Akhsanteni.
View attachment 120223
Kaka mkubwa umetoa somo zuri na hii kitu nilitamani sana kiwe kwa pc ya mi nina laptop dell latitude e6400 na hizo
osx zote nimedownloa lakini nashindwa kufanya intallation kwamaana ya boot ninafanya je?
MSAADA TAFADHALI mimi inaishia kwenye select destination na aionyeshi kitu chochote nifanye nini?Hatimaye nimefanikiwa kui install OSX snow leopard 10.5.7 na 10.6.3 kwenye pc ya kawaida. niliamua kuchagua hizo version ingawa si latest sana kwasababu pc niliyojaribia ilikuwa na specification ndogo ni hp dc7600 SFF pentium 4 processor speed 3.0ghz Ram 4GB DDR2 HDD 250GB. Ilipiga mzigo fresh ingawa baadhi ya drivers zina kasumbwi hyo ni kwenye 10.5.7.
ktk version 10.6.3 drivers nyingi zilifanya kazi kuanzia audio,bluetooth,wifi,vga,ethernet n.k
Niliipenda user interface yake ni rahisi sana kutumia ipo verry simple na fast (just imagine kwenye p4) na pia apps zote basic kama chrome, firefox, vlc na nyengine nyingi zinapatikana.
Changamoto:
Unaweza fanya hata 10 attempt ku install ndo ikakubali kama huku chagua patches sahihi wakati wa installation.
hackintosh releases nilizotumia kujaribu:
Ideneb v1.5
IAtkos S3
Zote hizi zinapatikana kwenye torrents na kwa anayetaka kujaribu google itakusaidia kwa procedures zote.
Jaribio linalofuata ni kuinstall latest releases kwenye core i3 pc (desktop).
Mwenye swali, au kuongezea unachokijua ruksa.
Akhsanteni.
View attachment 120223
MSAADA TAFADHALI mimi inaishia kwenye select destination na aionyeshi kitu chochote nifanye nini?View attachment 122180View attachment 122181