hacking tigo modem?

Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,280
3,345
jamani kama kuna mtu yeyeote anayeweza kuchakachua modem ya tigo plz naomba anisaidie model na ni e 153u-1hata idea jamani coz software nyingi za hacking zinashindwathanx in advance
 
What do u want specifically, hacking is broad.
Apart from that modem are now very cheap and bundle prices are almost similar
 
jamani kama kuna mtu yeyeote anayeweza kuchakachua modem ya tigo plz naomba anisaidie model na ni e 153u-1hata idea jamani coz software nyingi za hacking zinashindwathanx in advance

mkuu usiwe mvivu unapotaka kusaidiwa basi nawe onyesha dalili za kujisaidia bas.
Ungepekua baadh ya thread za wadau kuna majibu kibao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom