Hackers/Crackers in Need

Hackers/Crackers in Need

ECES

Member
Joined
Sep 15, 2010
Posts
61
Reaction score
24
Wakuu habari zenu..

Naulizia kama kuna hackers yeyote hapa bongo na km kuna mwenye mawacliano nae aniunganishe nae its very ugent wakuu...

Natanguliza shukrani zangu...
 
It depends unataka kuhack nini. Wengine wanajua MD5 cryptology, wengine wanajua admin hacking, wengine software hacks, etc. So kuwa specific.
 
It depends unataka kuhack nini. Wengine wanajua MD5 cryptology, wengine wanajua admin hacking, wengine software hacks, etc. So kuwa specific.

nahitaji admin hacking hasa kwenye database mkuu, so do u knw anyone..?
 
I can do hacking but I wear only white hats!
 
Back
Top Bottom