Hacked: Website ya chuo cha TIIS imedukuliwa

nyu hakaz em kuweni wabunifu kila siku mna vi haki viwebsite vya kawaida, mu haki ata web ya ikulu au jeshi ivi na kama izo
 
Bro by default that's integrated on your Chrome browser | Google voice search. So kumsikiza mtu kwa mic ya PC au simu yake it's not hacking, ni programming tu ya kawaida
mkuu sio kusikiliza kama unavyopiga video call,

yaani computer yako inakua kama bug,yaani inanasa unachoongea bila wewe kujua na kwa zile laptop zenye camera front,inakuwa inakuchukua video bila wewe kujua,ndo maana wajuzi sikuhizi wanafunika ile camera na kipande cha karatasi ama chochote na kuna laptop sikuhizi zinakuja na kijitu cha kuslide kufunika camera,

hizi mbinu wanatumia sana CIA kunasa mazungumzo ya watu ama kupata image ya mtu wanaemtafuta
 
Back
Top Bottom