Asee hawa mahacker ni vichwa smart sana,
juzi nimesoma step by step namna ya kuhack kwenye computer ya mtu ama laptop na kuigeuza kuwa listen device,
yaani computer yako inakuwa hacked,ndani ya computer kuna mic inakuwa turned on kila unaloongea kama computer inakurecord na kutuma sauti kwenye link ambayo jamaa popote walipo hapa duniani wanaweza kuacccess,
na hata wakitaka picha yako wanaiswitch on ile camera ya mbele ya laptop inakuchukua picha ama video,
na kinachotakiwa ni email tu ya mlengwa,ambapo litatumwa file ukifungua tu tayari umenasa