BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,321
- 11,315
Katubu!! Kweli hakuna jiwe litalosalia juu ya jiwe labda yule mmakonde ambae anasema hawezi kuchenji buku kwaajili ya njaa ya mtoto
Hilo ndilo la msingi mkuu,nchi hii ya ajabu sana sheria imetupwa kulee,Unakamatwa kuwa umefanya kosa unawekwa mahabusu miaka 3 upelelezi haukamiliki kisha unaambiwa ukili kosa na ukubali kulipa.Hiyo ni zaidi ya mahakama.Kukiri kosa kwa DPP sio mahakamani,nchi hii ipo siku tutajielewa for now ........
Mlichoona ni kitambi tu hamna facts zingine...Maskini!
Sijui bado ana lile puto tumboni!!!!
Wewe msomi na tajiri umeona nini mkuu?Mlichoona ni kitambi tu hamna facts zingine...
#Illiteracy, #poverty
Alipe mapesa yetu huyo fisadi
Wewe msomi na tajiri umeona nini mkuu?
Hukumbuki ahadi ya wana TANU?Ujiulizi? Ilikuwaje akapewa madaraka na wasafi wakati alikuwa mchafu hivi!!? Jibu ni rahisi yawezekana Chakaza ana grudges na 'Mkulukulu' baada ya maslahi yake aliyoyawekeza kwenye 'hila' kutenguliwa. Pole. Take it ease ha ha ha aaa!
Sawa MSOMI NA TAJIRISiwezi kukuambia sababu nitamuambiaje mtu asiyeona wala kuzungumza facts katika hili ina mana hatujajibishana kwa facts ama hoja zilizotukuka , zaidi tutabishana kwa porojo na muda huo sina.
Mbaya zaidi ni pale utakapoenekana una hatia, hapo inabidi uzilipe hizo hela na pia utumikia kifungo kwa mda..Kuna muda mara mia ulipe uondoke tu maana muda unaopoteza unajikuta unapoteza hela nyingi kuliko hela ambayo ungelipa utoke.
Siyo umwambafy ni umwambafication! Shule umesomea nini wewe?Umwambafy
Sasa anae mshtaki kwa kuhujumu uchumi kashindwa kuudhirishia uma kama ni kweli. anatafta namna nyingine what a failure!!!!!!!Ingelikuwa ni vyema hao waliotuhumiwa, masharti ya kukiri iwe ni pamoja na kuchoma ramani nzima ya vita...
Waeleze ni namna gani walikuwa wakihujumu uchumi, na wamekuwa wakishirikiana na kina nani...
Hili neno linaniudhi sana ila basi tu, halafu mnataka kulazimisha mpaka liingie kwenye kamusi ya kiswahili fasaha, sijui huko shule mlienda kujifunza ujinga?
Maji yamemfika shingoni
Ila watu warudishe hela walizokula. Tusiwaonee huruma kabisa.
Utajiri wa ujanja ujanja wa wizi tuupinge kwa nguvu zote.
Hii issue itakusanya zaidi ya Billioni 500 tujengee Mradi wa maji kufidia pesa walizokula iptl miaka na miaka.
Dollar 22,198,544.60 kwa exchange rate ya leo ya 2310.66 ni TZS 51, 292,623,109.10 na TZS 309,461,300,158.27 jumla inakua TZS 360,753,923,267.37. Magu akisema kweli anamaanisha. Hapa naona hii ishu italeta pesa nyingi sana.
Ni lazima wazitapike! Tanzania haitachezewa tena. Labda watetezi wa mafisadi mchukue nchi.
Watagawana hasara na aliowapa.Ila nadhani akiamua kuwataja aliowapa nchi itayumba.Serikali naomba impe ulinzi mkali hata akilipa.Hizo pesa nadhani Sio zote anadaiwa yeye nadhani na Rugemalila Ni hizo hizo inabidi wagawane nusu kwa nusu kulipa.Machori çhorii wenzake watamchangia alipe
Mkuu iandike hiyo thamani ya pesa kwamaneno samahan lakiniMaji yamemfika shingoni
Ila watu warudishe hela walizokula. Tusiwaonee huruma kabisa.
Utajiri wa ujanja ujanja wa wizi tuupinge kwa nguvu zote.
Hii issue itakusanya zaidi ya Billioni 500 tujengee Mradi wa maji kufidia pesa walizokula iptl miaka na miaka.
Dollar 22,198,544.60 kwa exchange rate ya leo ya 2310.66 ni TZS 51, 292,623,109.10 na TZS 309,461,300,158.27 jumla inakua TZS 360,753,923,267.37. Magu akisema kweli anamaanisha. Hapa naona hii ishu italeta pesa nyingi sana.
Hapana hapana. Njia nzuri ni kuondoa hiyo sheria inayozuia watuhumiwa kupewa dhamana. Mtu aadhibiwe akithibitika kuwa mhalifu sio sasa hivi mtu anaadhibiwa kwanza halafu ndo anajiteteaNjia nzuri ya baraka ilikuwa ni kuharakisha upelelezi wa kesi zao na ushahidi kuwekwa mahakamani. Unawezaje kuwaweka watu mahabusu zaidi ya miaka 3 eti upelelezi haujakamilika! Hii ni "saikolojikol tocha" na makusudi na kuwaumiza binadamu wenzako.