Habinder Sethi aomba msamaha na kukiri makosa yanayomkabiri ya Uhujumu Uchumi

Kukiri kosa kwa DPP sio mahakamani,nchi hii ipo siku tutajielewa for now ........
Hilo ndilo la msingi mkuu,nchi hii ya ajabu sana sheria imetupwa kulee,Unakamatwa kuwa umefanya kosa unawekwa mahabusu miaka 3 upelelezi haukamiliki kisha unaambiwa ukili kosa na ukubali kulipa.Hiyo ni zaidi ya mahakama.
 
Siwezi kukuambia sababu nitamuambiaje mtu asiyeona wala kuzungumza facts katika hili ina mana hatujajibishana kwa facts ama hoja zilizotukuka , zaidi tutabishana kwa porojo na muda huo sina.
Wewe msomi na tajiri umeona nini mkuu?
 
Ujiulizi? Ilikuwaje akapewa madaraka na wasafi wakati alikuwa mchafu hivi!!? Jibu ni rahisi yawezekana Chakaza ana grudges na 'Mkulukulu' baada ya maslahi yake aliyoyawekeza kwenye 'hila' kutenguliwa. Pole. Take it ease ha ha ha aaa!
Hukumbuki ahadi ya wana TANU?
Nitasema kweli daima fitina kwangu mwiko!
 
Siwezi kukuambia sababu nitamuambiaje mtu asiyeona wala kuzungumza facts katika hili ina mana hatujajibishana kwa facts ama hoja zilizotukuka , zaidi tutabishana kwa porojo na muda huo sina.
Sawa MSOMI NA TAJIRI
 
Kuna muda mara mia ulipe uondoke tu maana muda unaopoteza unajikuta unapoteza hela nyingi kuliko hela ambayo ungelipa utoke.
Mbaya zaidi ni pale utakapoenekana una hatia, hapo inabidi uzilipe hizo hela na pia utumikia kifungo kwa mda..
 
Wanafurahia leo kuona kila mtu anakili makosa, lakini hawakuwa na ushahidi wa kuwatia hatihani. Leo na hara huko mbele hili ni tatizo kubwa sana, mtu ana lazimishwa kukiri uongo, uzushi ili apate haki yakuishi huru, mtalaanika hapa na huko kwingine.
Badala kutumia magakama, mna tengeneza kangaroo court humo humo mahakamani kwa sifa za kisiasa.
 
Kumshinikiza mtu akiri kosa ni failure kubwa sana kwamba wameshindwa kuja na fact za kumshtaki, sema ni kwa vile upande unao shinikiza una nguvu so no way out mtu anakaa ndani miaka na miaka upelelezi hauishi kwani kuna nn? kwaio wameshindwa kuja na hoja wana bana ukubali what if umeonewa? anywai acha akiri tu atoke maana uko aliko sio kuzuri
 
Ingelikuwa ni vyema hao waliotuhumiwa, masharti ya kukiri iwe ni pamoja na kuchoma ramani nzima ya vita...

Waeleze ni namna gani walikuwa wakihujumu uchumi, na wamekuwa wakishirikiana na kina nani...
Sasa anae mshtaki kwa kuhujumu uchumi kashindwa kuudhirishia uma kama ni kweli. anatafta namna nyingine what a failure!!!!!!!
 
mkuu thibitishia uma basi tuamini au na wewe ndio bendera mbona wenyewe wameshindwa?
Maji yamemfika shingoni

Ila watu warudishe hela walizokula. Tusiwaonee huruma kabisa.

Utajiri wa ujanja ujanja wa wizi tuupinge kwa nguvu zote.

Hii issue itakusanya zaidi ya Billioni 500 tujengee Mradi wa maji kufidia pesa walizokula iptl miaka na miaka.

Dollar 22,198,544.60 kwa exchange rate ya leo ya 2310.66 ni TZS 51, 292,623,109.10 na TZS 309,461,300,158.27 jumla inakua TZS 360,753,923,267.37. Magu akisema kweli anamaanisha. Hapa naona hii ishu italeta pesa nyingi sana.
 
Machori çhorii wenzake watamchangia alipe
Watagawana hasara na aliowapa.Ila nadhani akiamua kuwataja aliowapa nchi itayumba.Serikali naomba impe ulinzi mkali hata akilipa.Hizo pesa nadhani Sio zote anadaiwa yeye nadhani na Rugemalila Ni hizo hizo inabidi wagawane nusu kwa nusu kulipa.

Mhehe harbinger singh Seth mtoto wa Mzee singa singa wa Iringa wa kampuni ya Ruaha Construction company mtu wa Iringa huyo ana hasira za kihehe huyo akiamua kulimwaga waliochukua pesa wajiandae.

Serikali impe ulinzi hata akilipa
 
Maji yamemfika shingoni

Ila watu warudishe hela walizokula. Tusiwaonee huruma kabisa.

Utajiri wa ujanja ujanja wa wizi tuupinge kwa nguvu zote.

Hii issue itakusanya zaidi ya Billioni 500 tujengee Mradi wa maji kufidia pesa walizokula iptl miaka na miaka.

Dollar 22,198,544.60 kwa exchange rate ya leo ya 2310.66 ni TZS 51, 292,623,109.10 na TZS 309,461,300,158.27 jumla inakua TZS 360,753,923,267.37. Magu akisema kweli anamaanisha. Hapa naona hii ishu italeta pesa nyingi sana.
Mkuu iandike hiyo thamani ya pesa kwamaneno samahan lakini
 
Njia nzuri ya baraka ilikuwa ni kuharakisha upelelezi wa kesi zao na ushahidi kuwekwa mahakamani. Unawezaje kuwaweka watu mahabusu zaidi ya miaka 3 eti upelelezi haujakamilika! Hii ni "saikolojikol tocha" na makusudi na kuwaumiza binadamu wenzako.
Hapana hapana. Njia nzuri ni kuondoa hiyo sheria inayozuia watuhumiwa kupewa dhamana. Mtu aadhibiwe akithibitika kuwa mhalifu sio sasa hivi mtu anaadhibiwa kwanza halafu ndo anajitetea
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom