Isike Moses
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,789
- 4,243
Aliyekili ni Seth.
Labda mleta uzi ana chanzo kingine cha habari.Aliyekili ni Seth.
Kumbe alitaka bado hela zaidi?Walimuita "serikali inataka urenew mkataba wa IPTL"
Ingefaa time ya maadili ichukue mafaili ya toba kwa DPP ichunguze na kujiridhisha Kama hapakuwa na ukiukwaji wa maadili ya utumishi wa umma, hauwezi kupiga dili peke yako lazima wapo waliowezeshaSingasinga atageuka shahidi wa serikali.
Katubu!! Kweli hakuna jiwe litalosalia juu ya jiwe labda yule mmakonde ambae anasema hawezi kuchenji buku kwaajili ya njaa ya mtoto
Kuna mwingine huwa anakikopesha chama chake na kumlipa kwa riba sikuhizi anaonekana kwa machale naona anaogopa kutajwaHapa kazi tu, na ni kazi haswaaaa! Wale wote waliochukua hela kwa masandarusi kutoka H. Seith na nyingine kuchakachuliwa na kupelekwa nchi za nje, nyingine kujenga mijumba Oysterbay, Regent Estate, etc watazirudisha penda wasipende! (Magufuli)Nyerere II na (Majaliwa)Edward Moringe Sokoine II wapo kazini! Kama Prof Tiba karudisha lazima na wengine wazirudishe!!!!
Ni wazi nguvu au jeuri ya IPTL ilitokana na mkono wenye mamlaka ndani ya serikali.Ingefaa time ya maadili ichukue mafaili ya toba kwa DPP ichunguze na kujiridhisha Kama hapakuwa na ukiukwaji wa maadili ya utumishi wa umma, hauwezi kupiga dili peke yako lazima wapo waliowezesha
This is brilliant idea, ndo uwa wanafanya wenzetu W nchi zilizoendelea, uanaweka ramani nzima mezani hili siku za usoni wasijirudiye tena.Ingelikuwa ni vyema hao waliotuhumiwa, masharti ya kukiri iwe ni pamoja na kuchoma ramani nzima ya vita...
Waeleze ni namna gani walikuwa wakihujumu uchumi, na wamekuwa wakishirikiana na kina nani...
JAMAA SIO FALA ITAKUA WASHAPATA LOOP HOLE ILI AJITANZUE TUU LAKINI GAME INAENDELEA WAKATI YUPO NJEKukiri kosa kwa DPP sio mahakamani,nchi hii ipo siku tutajielewa for now ........
Tamaa tu, tamaa ya kuja kuwezesha dili la IPTL liendelee.Hivi nini kilimrudisha bongo?
JK ndiye aliyeleta mradi wa Kinyerezi I, II, III, IV na kuvuta bomba la gas toka Mtwara ile mitambo mipya Kinyerezi ndiyo iliyomaliza mgao. Kumbuka hilo.Ile mitambo ilizimwa JK alipotoka na mgao hakuna
Unafikiri tatizo lao lilianzia wapi? Nyumbani kwenu?Tanesco ipi inaitumia?
Pole!
Mkataba na IPTL ulishaisha toka 2017 na Mitambo yao ilishazimwa siku hiyo hiyo.Unafikiri tatizo lao lilianzia wapi? Nyumbani kwenu?
"Kweli"kabisa njia Nyeupe kwa Act au CDM kushindwa uchaguzi . Hivyo tutarajie ZZK au mwenyekiti wa saccos kuwa Raisi.Maana waliobanwa kama mijusi kwenye milango watawekeza vipato vyao ouvu ktk kumtuoa anaye wabana.Inawezekana katika hili magufuri anajimaliza mwenyewe...ameongeza maadui zaidi uraiani uchanguxi 2020 utakua moto sana.
Hawapendagi kukaa kwao Zanzibar sijui kuna tatizo ganiNamshauri akalime mwami Pemba uwakili haulipi tena