Habibu Mchange: Nitagombea uenyekiti CHADEMA

Habibu Mchange: Nitagombea uenyekiti CHADEMA

swagazetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
4,253
Reaction score
1,475
Akihojiwa na mwandishi redio Saut sasa anasema atagombea uenyekiti wa chama cha CHADEMA na anasema atamshinda F. Mbowe. Anasema CHADEMA inahitaji mtu kama ZZK ama yeye.

Anasema Mbowe hajawahi kushinda uchaguzi ndani ya CHADEMA.

My take: Mchange ni small entity kuivuruga CHADEMA.
 
Je Act hatagombea?

Au anataka awe kama yule kiongozi wao wa ACT ambaye pia kiongozi wa ADC.

Uenyekiti wa chadema anautumia kujipigia kiki tumkumbuke kwa kuwa hasikiki cheap popularity
 
Mmh kumbe Mbowe hajawahi kushinda uchaguzi ndani ya CHADEMA, alipataje kuwa kiongozi??
 
Akihojiwa na mwandishi redio Saut sasa anasema atagombea uenyekiti wa chama cha chadema na anasema atamshinda F.Mbowe.anasema chadema inahitaji mtu kama zzk ama yeye.

Anadema Mbowe hajawahi kushinda uchaguzi ndani ya chadema.

My take:Mchange ni small entity kuivuruga chadema.

Hawa ndio wale waliopigwa bit na Juliana Shonza wakafyata
 
Akihojiwa na mwandishi redio Saut sasa anasema atagombea uenyekiti wa chama cha chadema na anasema atamshinda F.Mbowe.anasema chadema inahitaji mtu kama zzk ama yeye.

Anadema Mbowe hajawahi kushinda uchaguzi ndani ya chadema.

My take:Mchange ni small entity kuivuruga chadema.

Cha Ukweli alichokisema hapa ni kuwa Mbowe hajawahi kushinda uchaguzi.
Hili la yeye kugombea ni porojo tu, hana ubavu huo!
 
Mchange kwanza ndio nani? Huu ni mwendelezo wa kuvurugwa kwa vibaraka wa CCM na Zitto wao.
 
Naona Failures sasa wameamua kujitoa ufahamu, aisee mpaka kufika 2015 tutasikia vioja vingi
 
Ukiona hivyo ujue ACT ndio imeaga dunia familia inawayawaya. ZZK kuwa na huruma unaona vijana wanavyowayawaya !!? Kazi ya uzi wa Juliana Shonza umejidhihiri.!!!
 
Akihojiwa na mwandishi redio Saut sasa anasema atagombea uenyekiti wa chama cha chadema na anasema atamshinda F.Mbowe.anasema chadema inahitaji mtu kama zzk ama yeye.

Anadema Mbowe hajawahi kushinda uchaguzi ndani ya chadema.

My take:Mchange ni small entity kuivuruga chadema.

Safi kabisa CDM tumechoka na mambo ya kurithishiana uenyekiti kama ufalme. Muda wa Mwisho wa Utawala wa kifalme CDM umefika. Saa ya ukombozi inawadia.
 
Mbowe aachie uenyekiti??? Jua litachomoza kutokea kaskazini
 
Cha Ukweli alichokisema hapa ni kuwa Mbowe hajawahi kushinda uchaguzi.
Hili la yeye kugombea ni porojo tu, hana ubavu huo!

Supu ya utumbo wa kitimoto imewalevya. Fedha alizouza ubunge hazijaisha?
 
Mbowe ameachiwa mali ya urithi na mkwe wake, hao dagaa akina Mchange wasahau
 
Back
Top Bottom