Habibu Mchange: Nitagombea uenyekiti CHADEMA

Habibu Mchange: Nitagombea uenyekiti CHADEMA

Mchange huwa anavuta bange?Walio karibu nae waniambie pls kabla sijaendelea kuchangia
 
koka alikannua gaka kakatuni kwa vipande thelathini.
 
Akihojiwa na mwandishi redio Saut sasa anasema atagombea uenyekiti wa chama cha chadema na anasema atamshinda F.Mbowe.anasema chadema inahitaji mtu kama zzk ama yeye.

Anadema Mbowe hajawahi kushinda uchaguzi ndani ya chadema.

My take:Mchange ni small entity kuivuruga chadema.

Hiyo ni ndoto, Mchange hawezi mshinda Mbowe ndani ya CHADEMA. Nadhani atakuwa msindikizaji atakayetumika.
 
Yaani Saccoss kabisaaa iende kwa Habibu? Ni sawasawa Mchaga azikwe Dar

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Mbowe ni kweli hajawahi shinda Jimboni Hai alishinda kwa bastola na kesi ipo mahakamani kwa sasa baada ya kumtishia msimamizi Wa uchaguzi
 
Habibu Mchange ndiye aliyewahadaa wale madiwani 2 walioasi Shinyanga na kurejea tena Chadema na ndiye aliyewalipa pesa feki pale Karina Hotel - Shinyanga. Anastahili tairi la moto shingoni au gas chamber au tanuru la moto 3000cc. Traitors should be dealt with accordingly. Akagombee uenyekiti ACT
 
Akihojiwa na mwandishi redio Saut sasa anasema atagombea uenyekiti wa chama cha chadema na anasema atamshinda F.Mbowe.anasema chadema inahitaji mtu kama zzk ama yeye.

Anadema Mbowe hajawahi kushinda uchaguzi ndani ya chadema.

My take:Mchange ni small entity kuivuruga chadema.

Wale madiwani wa Shinyanga Waliorejea CHADEMA wakisikia hii wanaweza kujiua, mbaya sana huyu mtoto,

Labda akagombee urahisi wa ACT awaongeze kwa remote ya Zitto!
 
Mchange hata chuo kichanga cha Udom alidisco ataziweza siasa za kisasa? Jamaa ni mchumia tumbo + mshirikina,
njoja nifiche simu yangu maana.....
 
Akihojiwa na mwandishi redio Saut sasa anasema atagombea uenyekiti wa chama cha chadema na anasema atamshinda F.Mbowe.anasema chadema inahitaji mtu kama zzk ama yeye.

Anadema Mbowe hajawahi kushinda uchaguzi ndani ya chadema.

My take:Mchange ni small entity kuivuruga chadema.

Nilidhani ni mwanachama wa ACT huyu kijana.
 
Huyu Habib Mchange kweli ubongo wa funza. Anaizungumzia CHADEMA ipi? Huko ACT kunawaka moto au? Maana hawaishi kuitaja CHADEMA.
 
Hilo mbona liko wazi, kila alipotokea yeyote kumchallange hutumia uenyekiti wake na baba mkwe kuhakikisha hakuna anayeshindana naye. Ndo kisa cha kumuondoa chacha wangwe, na ndo kisa cha kuhakikisha zitto hapati nafasi CHADEMA ili aendelee kuwa sultan wa chama.

Cha Ukweli alichokisema hapa ni kuwa Mbowe hajawahi kushinda uchaguzi.
Hili la yeye kugombea ni porojo tu, hana ubavu huo!

mmh kumbe mbowe hajawahi kushinda uchaguzi ndani ya CDM, alipataje kuwa kiongozi??
 
Akihojiwa na mwandishi redio Saut sasa anasema atagombea uenyekiti wa chama cha chadema na anasema atamshinda F.Mbowe.anasema chadema inahitaji mtu kama zzk ama yeye.

Anadema Mbowe hajawahi kushinda uchaguzi ndani ya chadema.

My take:Mchange ni small entity kuivuruga chadema.

Mbowe ataku WANGWE sasa hivi wewe kijana. Ohoooooo
 
Back
Top Bottom