Habibu Mchange: Nitagombea uenyekiti CHADEMA

Habibu Mchange: Nitagombea uenyekiti CHADEMA

Mbowe aachie uenyekiti??? Jua litachomoza kutokea kaskazini

Haachi ng'o yeye ni mwekiti hadi akisema basi kwa hiari yake mwenyewe si wa wasaka tonge kama nyinyi. Kwenu mbona hamnyimi uongozi Anna Makinda (contiroli shiti) ambaye ni mbunge kabla wewe hujavunja ungo.Mjambe mhalishe kaeni kimya nafasi yake ipo pale pale.
 
Hivi huyu ndugu bado ni mwanachama wa CDM? Mbona vituko.
 
Anataka awe mwanachama wa vyama vingapi vya siasa?

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Akihojiwa na mwandishi redio Saut sasa anasema atagombea uenyekiti wa chama cha chadema na anasema atamshinda F.Mbowe.anasema chadema inahitaji mtu kama zzk ama yeye.

Anadema Mbowe hajawahi kushinda uchaguzi ndani ya chadema.

My take:Mchange ni small entity kuivuruga chadema.

Acha kashfa, mpongeze kijana kuonesha demokrasia.
 
Mbowe aachie uenyekiti??? Jua litachomoza kutokea kaskazini

Hakika, kipindi hiki kwa nguvu yetu ataachia na kusahaulika kabisa. Hana nguvu yoyote CDM ndio maana siku zote anaogopa upinzani wa ndani.
 
Nafasi ya Uenyekiti wa Chadema ni ya Mbowe mpaka atakapomrithisha mwanae.

Hivi wewe kweli ni mwalimu au ni A.K.A tu, kama wewe ni mwalimu tutegemee baada ya miaka 5 mwanafunzi atakuwa daktari ila hajui kusoma wala kuandika
 
Mjumbe wa kamati kuu ya ACT a nakumbuka CHADEMA, mwaka wa shetani huu.....mwandishi amuulize mbona alikosa na Zitto kwenye mgao wa fedha za ........akapelekwa Maswi nyaraka mpaka za Benki?
 
Akihojiwa na mwandishi redio Saut sasa anasema atagombea uenyekiti wa chama cha chadema na anasema atamshinda F.Mbowe.anasema chadema inahitaji mtu kama zzk ama yeye.

Anadema Mbowe hajawahi kushinda uchaguzi ndani ya chadema.

My take:Mchange ni small entity kuivuruga chadema.

Hiyo ni tabia ya CCM kila mwanachama anataka kuwa mwenyekiti wa chama kwa sababu akishakuwa mwenyekiti kila kitu anafanyiwa. CHADEMA ni kinyume ukiwa mwenyekiti lazima ufanye kazi kuliko waliokuchagua na hii ndio sifa ya Mbowe kuanzia kuchangia chama mpaka kupiga kazi kikamanda kwa CHADEMA hakuna anaemfikia Mbowe kwa kuchapa kazi. Kamanda wote tunamkubali
 
Wanasiasa wetu wanatia kinyaa sana. Huyu Mchange pamoja na upuuzi wake na usaliti dhidi ya Chadema bado anadai kuwa ni Mwanachadema!

Kama Zitto anakumbatia wafuasi wa aina ua Mchanga, naogopa muda mfupi ujao Zitto naye anaweza kutushangaza kuwa naye anajiandaa kugombea Uenyekiti wa Chadema.

Huyu Mchange ananikumbusha kauli ya mwana CCM mmoja aliyewahi kusema: ukiwa Mnafiki ujanani, uzeeni utakuwa Mchawi.
 
Je Act hatagombea?

Au anataka awe kama yule kiongozi wao wa ACT ambaye pia kiongozi wa ADC.

Uenyekiti wa chadema anautumia kujipigia kiki tumkumbuke kwa kuwa hasikiki cheap popularity

NAMKUMBUKA SANA NDUGU LIMBU, KUTOKA CUF , KWENDA KUWA KATIBU MKUU aDC BILA KUKANA UANACHAMA WAKE KULE ADC SASA YUKO ACT YOTE NI NJAA NA KUTAFUTA MASILAHI , SI KWELI KUTOKA KOTE HUKO NI UANASIASA.
 
Cha Ukweli alichokisema hapa ni kuwa Mbowe hajawahi kushinda uchaguzi.
Hili la yeye kugombea ni porojo tu, hana ubavu huo!

Hata ubunge wa hai hajashinda, kwi kwi kwi,hata mwenyekiti wenu aliwaambia la kuambiwa changanya na ......!!!
 
Hakika, kipindi hiki kwa nguvu yetu ataachia na kusahaulika kabisa. Hana nguvu yoyote CDM ndio maana siku zote anaogapa upinzania wa ndani.

Freedom mkiti hakuna mjadala subiri hadi 9999
 
Akihojiwa na mwandishi redio Saut sasa anasema atagombea uenyekiti wa chama cha chadema na anasema atamshinda F.Mbowe.anasema chadema inahitaji mtu kama zzk ama yeye.

Anadema Mbowe hajawahi kushinda uchaguzi ndani ya chadema.

My take:Mchange ni small entity kuivuruga chadema.

Hata fomu hatutampa.
 
Hakika, kipindi hiki kwa nguvu yetu ataachia na kusahaulika kabisa. Hana nguvu yoyote CDM ndio maana siku zote anaogapa upinzania wa ndani.

Freedom mwenyekiti hakuna mjadala subiri hadi mwaka 9999
 
Cha Ukweli alichokisema hapa ni kuwa Mbowe hajawahi kushinda uchaguzi.
Hili la yeye kugombea ni porojo tu, hana ubavu huo!

Mkuu kuna time huwa unataka kuwa mkweli ila basi tu sijui nini huwa kinakuzuia?
 
Hivi Mchange ni mwanachama wa CHADEMA?
 
Back
Top Bottom